Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,756
Aisee kumbe na Kawawa Road kuna ujenzi wa daraja? Au ni ujenzi wa BRT unajenga Daraja pia?Baada ya muda mrefu nimepita Kawawa road jana bonde la mkwajuni na kigogo wanajenga madaraja makubwa sana
Eneo la Mkwajuni ni Mpango wa Kudhibiti mafuriko kama Daraja la Jangwani, Eneo la Kigogo karibu na Round about au Msimbazi Center pia hivyo hivyo na BRT Phase 2 kipande hiko naona wameacha daraja likamilike kwanza. Kuna madaraja matatu makubwa kazi inaendelea. Jangwani, Kigogo na Mkwajuni. Ambapo mawili kama unavyoona yapo Kawawa Road.Aisee kumbe na Kawawa Road kuna ujenzi wa daraja? Au ni ujenzi wa BRT unajenga Daraja pia?
Unatafuta followers, KwikwikwikwikwikwiNimeona nikuwekee hizi post tangu 2018 at least upate uelewa kuwa naijua Chadema na maneno yangu hayana michambo wala uhusuano wowote na uliowataja wakina Lissu, Maria. Hao wametublock tangu 2016 huko! Chadema haijawahi kuwa chama cha kisiasa Tanzania zaidi ya proxy brigade ya westerners na Lissu ni agent kama wengine.
Mi nipo against na hicho chama na hao wkina Maria kitambo sana.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1482177843618623488
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1065675912442773504
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1426334234097209348
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1053925088666570752
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1920232264736063844
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1857063749896597685
Hayo madude ulio orodhesha ni among seven devices za propaganda. Sio tu kwakua wewe umesoma somewhere basi unadhani wengine hawajui ama hawajasoma hayo mavitu.
MSAADA TUTANI: utapata uelewa mzuri wa "name calling device" kama umesoma or utasoma "problems of Identity"; mimi niligongana nalo hilo kwenye Perennial Philosophy.
Kuna watu najuana nao kwenye forums nje ya JF kama Geza, Nairobi Walker kwa karibu or zaidi ya miaka 10. Sasa kama nina 23 years nilianza kuwa mitandaoni nikiwa 13 years. Hakuna mtu smart upstairs anaweza kuja na hizi assumptions zako za umri. 🚮
Samia hapingwi kwa sababu ya dini yake, bali kwa incompetence na ukibaraka wake wa mtandao.
Maximum Range 15 KM
tembo wa chokaa!Ndo hii solution ingine Wakiendelea kusherehekea harusi 😅😅😅
View: https://x.com/lapsset/status/2000430618866561397?s=46
Siku hizi mambo yanakuwa ni rahisi sana. Weka kwenye Chatgpt tu na utaelewa unajadiliana na mtu wa namna gana. Check matokeo haya hapa:Nimeona nikuwekee hizi post tangu 2018 at least upate uelewa kuwa naijua Chadema na maneno yangu hayana michambo wala uhusuano wowote na uliowataja wakina Lissu, Maria. Hao wametublock tangu 2016 huko! Chadema haijawahi kuwa chama cha kisiasa Tanzania zaidi ya proxy brigade ya westerners na Lissu ni agent kama wengine.
Mi nipo against na hicho chama na hao wkina Maria kitambo sana.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1482177843618623488
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1065675912442773504
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1426334234097209348
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1053925088666570752
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1920232264736063844
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1857063749896597685
Hayo madude ulio orodhesha ni among seven devices za propaganda. Sio tu kwakua wewe umesoma somewhere basi unadhani wengine hawajui ama hawajasoma hayo mavitu.
MSAADA TUTANI: utapata uelewa mzuri wa "name calling device" kama umesoma or utasoma "problems of Identity"; mimi niligongana nalo hilo kwenye Perennial Philosophy.
Kuna watu najuana nao kwenye forums nje ya JF kama Geza, Nairobi Walker kwa karibu or zaidi ya miaka 10. Sasa kama nina 23 years nilianza kuwa mitandaoni nikiwa 13 years. Hakuna mtu smart upstairs anaweza kuja na hizi assumptions zako za umri. 🚮
Samia hapingwi kwa sababu ya dini yake, bali kwa incompetence na ukibaraka wake wa mtandao.
| Dimension | Real-Comrade-Kipepe | Venus-Star |
|---|---|---|
| Overall Intelligence Level | Medium | High |
| Analytical Depth | Medium–Low | High |
| Education Signals | Diploma / Early Bachelor (ideology-driven) | Bachelor’s+ / Postgraduate exposure |
| Thinking Style | Ideological / Activist | Analytical / Systems-based |
| Emotional Control | Low–Medium | High |
| Argument Discipline | Weak | Strong |
| Best Role Fit | Activism / Mobilisation | CEO / Policy Advisory |