REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,676
- 11,694
Badala mjibu ama kupinga hoja, nyie mnajadili watu.Wakatoliki mnajipa umuhimu ambao hamna. Badilikeni dunia imebadilika.
Hakuna uhusiano. Baada ya wakatoliki kumuua Magufuli wakadhani Samia yupo upande waoBadala mjibu ama kupinga hoja, nyie mnajadili watu.
Pinga ama jibu hoja kama una hoja na sio kujadili watu.
Eti ukoloni.
Kuna ukoloni wa Kilofa kama ule wa kujidhalilisha kwa kuwalamba miguu westerners?
Magufuli, akili kubwa, was anti-imperialist tangu day one mpaka anakufa na hajawahi kanyaga Europe or America na alishtukia COVID kuwa ni scam.
She did all those nonsense, kukopa hovyo, kuwa validated na kuitwa reformist.
Leo mnawaita Wakoloni. Clearly, hana uwezo mzuri wa kiakili na hajui nini anafanya zaidi ya kutapatapa.🚮
View attachment 3514639
Hakuna uhusiano. Baada ya wakatoliki kumuua Magufuli wakadhani Samia yupo upande wao
View attachment 3514642
Kama ungekuwa kwenye mfumo ungetambua ni swala la muda tu, mfupi tena, Maza anarudi mavumbini kuungana na ancestors wake.Kama tumeamua kusema ukweli, wacha ukweli usemwe. Magufuli aliuliwa na wakatoliki baada ya kukataa maelekezo yao.
Kaa uandike vizuri kaka. Na kabla ya kuandika vizuri soma hii hapa:Mbona hujibu hoja? Vyote naongea ushahidi wake upo mpaka video clip.
Si ni wewe ulidai "tunaridishwa kwenye ukoloni"?
Uhalisia gani unazungumza hapa?
Sio hawahawa westerners ndio wanapanga kuweka sanctions?
Tupe ushahidi wa unachozungumza, niombe ushahidi wa ninachosema.
1. Mwanzo Samia alidai anapingwa kwa sababu ya "uanamke" jinsia yake.
2. Siku anamchana Ndugai kuwa mikopo inaidhinishwa nyumbani kwake "bungeni". Alidai ni huu "urais".
3. Sasa hivi anacheza karata ya dini na Uzanzibari.
View attachment 3514643
Nilimu ignore kwa wiki kadhaa, baadae nikamu unignore nilidhani atakuwa amepunguza comments zake za namna hii. I guess I was wrongHivi hamjaona sehemu ya ignore au mnapenda kubishana nae! 😂😂😂
Watu wanaogopa kufa au kuziletea familia zao mazila, ni wachache sana dunia hii wenye uwezo wa kusimamia wanachokiamini, mbele ya upanga.Mimi nashindwa kuelewa watu wanakosa utu! Mimi ningependa kama dini zote ziikemea udhalimuwa utekaji, uchaguzi batioli na ukandamizi kama Wakatoliki!
Brother jost ignore. Huongezi wala kupunguza chochote katika maisha yangu. Kila mtu yupo na uhuru wa kutoa maoni. Kama wewe maoni yako unaona bora kuliko ya wengine so upo na matatizo sehemu fulani. Unataka watu wote humu tufikirie kitu kimoja?? KwikwikwikwikwiNilimu ignore kwa wiki kadhaa, baadae nikamu unignore nilidhani atakuwa amepunguza comments zake za namna hii. I guess I'm wrong
Wewe vipi?
Nilikuwa namjibu mtu mwingine. Nahisi umevamia madaBrother jost ignore. Huongezi wala kupunguza chochote katika maisha yangu. Kila mtu yupo na uhuru wa kutoa maoni. Kama wewe maoni yako unaona bora kuliko ya wengine so upo na matatizo sehemu fulani. Unataka watu wote humu tufikirie kitu kimoja?? Kwikwikwikwikwi
Unaota wewe. Mtapukutika Katoliki wote kama upupu. Jaribuni muone cha moto Kwikwikwikwikwi Kwanza wakatoliki wenyewe hamna umoja kama walivyo na umoja waislam. Matajiri wote Tanzania ni waislam. Nyie wakatoliki mnafanya kazi za wazungu. Pesa zote zinachukuliwa na wazungu. Wenzenu waislam wanawekeza kwenye biashara, nyie mnawekeza kwenye demokrasia kwa niaba ya wazungu. KwikwikwikwiKama ungekuwa kwenye mfumo ungetambua ni swala la muda tu, mfupi tena, Maza anarudi mavumbini kuungana na ancestors wake.
So what? Ford Foundation ni taasisi ya wakatoliki, kila mtu anajua hiloWewe vipi?
Si tulikwambia kitambo na niliweka hata post yangu ya twitter hapa kuwa Maria na wengine wanalipwa Fird Foundation tangu kipindi cha Magufuli.
Ni dhahiri ulikuwa na ufaulu mdogo sana darasani, kwani memory span yako ni ndogo sana. Umerudi na Ford Foundation tena.
Nilikujibu na ushahidi hapa: https://www.jamiiforums.com
Sisi tunajua hayo ya Ford Foundation way before 2020
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1376824523526377478
Pole.Nilikuwa namjibu mtu mwingine. Nahisi umevamia mada
Matajiri wakubwa zaidi Tanzania wana asili ya Asia, mikoa yenye uislamu sana Tanzania ina umasikini wa kutisha, ikiongozwa na KigomaUnaota wewe. Mtapukutika Katoliki wote kama upupu. Jaribuni muone cha moto Kwikwikwikwikwi Kwanza wakatoliki wenyewe hamna umoja kama walivyo na umoja waislam. Matajiri wote Tanzania ni waislam. Nyie wakatoliki mnafanya kazi za wazungu. Pesa zote zinachukuliwa na wazungu. Wenzenu waislam wanawekeza kwenye biashara, nyie mnawekeza kwenye demokrasia kwa niaba ya wazungu. Kwikwikwikwi
Piga ignore tu washenzi kama hawaNilikuwa namjibu mtu mwingine. Nahisi umevamia mada
Hii theory niliwahi ifikiria, kutokana na jinsi Magufuli alivyowasema mapadri pale St Peters, kutokumuamini Mungu na badala yake kuamini uongo wa WHO kwenye covid.Kaka, wengine tunajua vitu kiundani zaidi. Usiniite mburukenge kama hujui uliza ufafanuliwe. Waliomuua Magufuli ni hao hao wakatoliki baada ya kwenda kinyume nao. Kwa sababu ya security ya Waislam wameshindwa kumpata Samia.
Ila we jamaa bhana, comments zako zinanifurahisha sana. Sijui hata unawazaga nini kichwani mwakoPole.
Waweza kuidentify founder wa Ford Foundation?So what? Ford Foundation ni taasisi ya wakatoliki, kila mtu anajua hilo
Umemsahau X-mkurukenzi wa usakana wa taifa, Mahiga.Hii theory niliwahi ifikiria, kutokana na jinsi Magufuli alivyowasema mapadri pale St Peters, kutokumuamini Mungu na kuamini sana uongo wa WHO.
Hata hivyo inaniwia vigumu kuikubali hiyo 'scenario' kwasababu kabla ya hapo, kulitokea vifo vya ghafla, kama Mzee Mkapa na Kijazi watu waliokuwa karibu sana na Magufuli. Hawa wote vifo vyao ni kanisa Katoliki?
Hivi vifo vya ghafla imeendelea kwa ndugai na juzi tuu hapa kwa Jestina, hawa nao wanabifu gani na kanisa katoliki?