Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye list huwezi kuwakosa wakenya Kwikwikwikwikwikwi


View: https://x.com/Globalstats11/status/1998612145425256938?s=20

wakati mwingine unaweza kuwa too low kiasi kwamba hata kwenye statitistics hautokei, hivyo kuwa mwangalifu sana na statistics, iweje somalia isiwepo wakati wasomali kama wote wanakimbilia kuishi nchini kenya hata kuna kambi ya ukimbizi ya wasomali? iweje siria isiwepo yet kuna vita, iweje afghanistan isiwepo ambapo wanawake hawaruhusiwi hata kwenda sokoni ? wapi mauritania ambako mpaka leo hii kuna utumwa watu wanauzwa kama bidhaa, chad, mali, sudani ...
 
Ati Mbeya ni kama Bondo, pumbavu kabisa. Kubali kwanza kuhusu Universities halafu tuanze kucompare aspects nyingine 😂😂😂
Hata aliyesema hivi ana avoid hii comparison sasahivi. I take his silence as a win
 
Another one.

Set to come up at Riverside Westlands,Chival Residence

















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…