Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii 3rd class railway tunaimbiwa hapa hata ujenzi haujaanza sijui itakamilika 2025-2030 hivi.

Don't quote me Danganyikans msiniambukize ujinga.
 
Bullet train ni shape sio vinginevyo wakenya acheni kujifanya mnajua saaana lugha ya malkia na vile vile wagunduzi na watumiaji wa.kwanza wa aina hii ya train ni wajapani katika miaka ya 1960 na si mabwana zenu wazungu au European
Japan zipo bullet train zinatembea 180km/hr

Wakenya ni mazwazwa
 
Collo anakwambia AREMA haiwez double stack container ..sasa wagons zake za nn?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumesikia mengi mwaka jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si ndo maana mchina akawauzia magari moshi kwa bei ya electric[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Icho umeua nzi na nyundo....
hawa nyang'au kujifanya wanajua sana kumbe mambulula tu wasiojua chochote! !
Husema ed system yao ni better but sijawah ona wanachotuzidi zaidi ya Yai! !


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…