Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
Napenda sana data znavyowadanganya na hapo ndio tutawapitia maana nyie mnapokua bize kuchekelea data zisizo na uhalisia sisi maskini huku ndio tunapiga miproject ya kufa mtu nyie endeleni kushangaa tuu na data za kiboya hizo
 
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
hehehe kwann unachachawa sana na kinachokuumiza wewe ni kuona tanzania inafanya wonders πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kwa taarifa yako. Tanzania ni nchi maskini sana tena sana tena sana. kama hauamini... google 30most poorest nations in the world. so ubavu huo hamuna hata mutumie mchawi gani
Lakushangaza inafanya mambo makubwa kuliko hizo nchi tajiri kama Nigeria, wakati Lagos wanajazana katika vibasi vidogo dogo, na inachukua masaa hadi manne kumaliza safari moja, Dar tunatumia aina ya usafiri bora kabisa na wakisasa, Nigeria wamejenga train ya kizamani kama Kenya, Tanzania comes with bullet trains, hiyo ndiyo nchi masikini kabisa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehe kwann unachachawa sana na kinachokuumiza wewe ni kuona tanzania inafanya wonders πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hahahaha....
wananchi wanataka viwanda.... wewe unashobokea viWonder???

I don die!!!
 
Mombasa, our second city...ask the tanzanians to bring their second cityπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
I am just arriving at Nairobi from MSA what a great place for the holidays... Had absolute fun! Cheers to the coastal mega city MSA!
 
how our competitors wish this whiteman would create the same caption that speaks about the good things offered in nairobi or kenya in general.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
I am just arriving at Nairobi from MSA what a great place for the holidays... Had absolute fun! Cheers to the coastal mega city MSA!
mega city au sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…