Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haikuwa vita ya kidini hiyo. Ilikuwa political kisa wanajeshi wa Kenya kupelekwa Somalia na propaganda. Kuna tofauti kubwa between that na udini
You should have just told him that it was a terror attack. Terrorism is a global problem
 
Leta ushahidi sisi hatufanani kwasababu hatukuwa kuwa terrorist issues kama kunyalanda
Unapenda ubishi za kijinga sana wanyamwezi. Nani hajui kwamba all terror attacks in Kenya are carried out by Alshabaab and their sympathizers? Alshabaab as a terror group linapatikana nchi gani?
 
Sometimes I wonder why TZ🇹🇿 & KE🇰🇪 relationship has to be acrimonious, but then that always how siblings normally interact (no need for pretence). Kenya has to point that seemingly hash finger 👈 towards Tanzania and we expect similar reproach when we start deviating from the proper path. Dini si shida hapa na changamoto za WaTZ, ila ni convenient escape for poor leadership and continuous gagging of free speech. Wacha watu wazungumuze, walalamike, walie ndo wasamehe wenzio kisha wapone.
 
Unapenda ubishi za kijinga sana wanyamwezi. Nani hajui kwamba all terror attacks in Kenya are carried out by Alshabaab and their sympathizers? Alshabaab as a terror group wanapatikana nchi gani?
Wanapakitaka southern somalia na nothern kenya na pwani kwani abdi logo aliyekuwa akihubiri ugaidi alikuwa raia wa nchi gani?
 
That's good to hear, hata Tanzania hakuna udini pia
Tena sisi tumeenda mbali, hatuna hata ukabila
Huwezi sema hamna ukabili. Upo ila sii kwa kiasi cha Kenya ama Uganda.
Udini pia mnao (In fact, Tanzania ndio namba mbili kwa udini eneo la Afrika Mashariki na Kati. Second only to Somalia). Ninavyoona mijadala inayoendelea mitandaoni ya Watanzania ni bayana udini upo Tanzania tena sana. Yani watu waandamane wauawe alafu kila watu wanachoona ni haya yamefanyika kisa Rais ni Mwislamu alafu useme hakuna udini? Wacha zako kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…