Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,270
- 107,908
Bro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. Ni wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.Sure, Kenyans wanadhani sisi tumetengana kama wao. Huku Muslims na Christians wanaishi kwa pamoja, kwa amani na upendo. Mimi mwenyewe mzazi wangu mmoja Mkristo mwingine ni muislamu
Mimi ni Mkristo na nimekua raised kwenye mkoa ambao upo dominated na waislamu, kamwe hawajawahi kunitenga, nina marafiki wengi waislamu na hakuna chuki yoyote ya kipuuzi. Ukienda Mbeya Region ambako kupo dominated na Christians, unakuta waislamu wanaishi kwa amani kabisa, wanavaa kanzu, wanasali suala tano na hakuna anayejali. Moja ya vitu bora sana Tanzania ni kwamba hakuna ubaguzi wa kipuuzi, hakuna ukabila wala udini
Sasa nyie Wakundustan ndio wa kujipambanua kutusaidia sisi?Hii nimeisoma mahali
Na Gaza nao inabidi wajiulize kwanini Dunia inawapambania sana?
Congo wajiulize kwanini Tanzania inapeleka mpaka Majeshi? Inawapenda sana?
Tanzania ilivyokuwa inasaidia nchi za SADC walijiuliza kama “ kwanini tunawapenda sana?”
Unayepaswa kujitafakari hapa ni wewe Mkuu.
Sasa mbona watu magaidi walipiga garrisa na wastegate?Bro, neno udini in Kenya is a vocabulary nobody knows. No wewe Unadhani tumetengana kama nyinyi.
Wanaosema hayo ni serikali yenu. wapelekee hizo frustrations zako.Sasa nyie Wakundustan ndio wa kujipambanua kutusaidia sisi?
Haikuwa vita ya kidini hiyo. Ilikuwa political kisa wanajeshi wa Kenya kupelekwa Somalia na propaganda. Kuna tofauti kubwa between that na udiniSasa mbona watu magaidi walipiga garrisa na wastegate?
kwani garisa si walikuwa wanauliza dini gani kama mkristo wanauwa sasa ulitaka kitokee nini ndo useme ni sio udini?Haikuwa vita ya kidini hiyo. Ilikuwa political kisa wanajeshi wa Kenya kupelekwa Somalia na propaganda. Kuna tofauti kubwa between that na udini
Kizazi cha waliokulia miaka ya 80 ni bora kielimu, kuliko hiki cha GenZ. kiwango cha ufaulu kilikuwa cha juu sana, wakati kuwango cha ufaulu kwa GenZ kimeshushwa sana.Ndugu hakuna kitakachochemka, 66% ya Tanzanians ni youths, ni Gen Z. Wengi wameelimika na wana uelewa. Huwezi kuwagawa kirahisi hivyo. Unaweza kuwagawa hawa wazee maana wengi wao wana uelewa mdogo kutokana na elimu duni waliyoipata miaka ya 1980s
Kenyans themselves don’t even share the same political opinions But There are actual Tanzanians like you who really believe Kenyans have gathered somewhere (i don’t know where) and formed united plan against Tanzanians😅Wakenya bhana!! Kwikwikwikwikwikwi Tunawajua lengo lenu.
Those were Somali Terrorists from Somalia you idiot. Those were not Kenyans...............and actually Kenyan Muslims defended Kenyan Christians from the terrorists by telling them, “kill us together or let us all go". Unajaribu kuforce tufanane ama unatafuta likes za AMARII zenye hazina maana maanake anazipeana kama k**a ya malaya?kwani garisa si walikuwa wanauliza dini gani kama mkristo wanauwa sasa ulitaka kitokee nini ndo useme ni sio udini?
Leta ushahidi sisi hatufanani kwasababu hatukuwa kuwa terrorist issues kama kunyalandaThose were Somali Terrorists from Somalia you idiot. Those were not Kenyans...............and actually Kenyan Muslims defended Kenyan Christians from the terrorists by telling them, “kill us together or let us all go". Unajaribu kuforce tufanane ama unatafuta likes za AMARII zenye hazina maana maanake anazipeana kama k**a ya malaya?
We Kenyans are not like you. We admit our weaknesses. We admitt we have a tribalism problem that we are working on. But udini hatuna kabisa. Nyie mna udini ndio maana after the chaos, the first thing that came into your minds is udini.
Nikuletee ushahidi kama nani?Leta ushahidi sisi hatufanani kwasababu hatukuwa kuwa terrorist issues kama kunyalanda