Kileleshwa developers need to up their game though. Almost every apartment in Kileleshwa and Kilimani have this kind of design. Some creativity is neededMore renders!👏👏 Aya residents 28floors,kileleshwa... for Nairobi hizi zimetosha for today there are dozens more! But ill be feeding you pole pole. Bado tuna omboleza the young brave souls that were taken away from us. RIP comrades!🙏View attachment 3498590View attachment 3498591
Dar watu 145 wameshtakiwa kwa uhaini na mwanza watu 173 makosa mengine. Je kuna hata mtu mmoja kutoka nje?Definitely kulikuwa na hujuma za mali za umma na ilianza kwa treni ya SGR, tatizo ni nani alipanga kuharibu, kwa maslahi ya nani?
Tumeambiwa ni watu kutoka nje, hii inaweza kuwa kweli kwa asilimia kubwa lakini vipi kuhusu hawa CCM mtandao? Kwa nini familia ya Kikwete inashikilia sana serikali hii ya Samia? Mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hawakufanya hivi? Kwa nini ni yeye tuu?
Hoja nzuri sana, serikali ilikuwa wapi mpaka watu kuingia nchini? Mbona hakuna anayeongelea kuhusu wanamtandao? Je inawezekana ndiyo waliofanikisha hayo?Dar watu 145 wameshtakiwa kwa uhaini na mwanza watu 173 makosa mengine. Je kuna hata mtu mmoja kutoka nje?
Au wauaji walikuwa na shabaha na IDs kuhakikisha kila mgeni wanamuua?
Yaani watu watoke Kenya sijui Rwanda waje kuhujumu BRT what's so special about hio BRT ambayo ishajifia zimebaki barabara na mabanda mabovu tu?
Ipo siku ukweli utajulikana tu.Hoja nzuri sana, serikali ilikuwa wapi mpaka watu kuingia nchini? Mbona hakuna anayeongelea kuhusu wanamtandao? Je inawezekana ndiyo waliofanikisha hayo?
Hawa nao walijipata aje SADC?
Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzishi wa SADCC.Hawa nao walijipata aje SADC?
Na vile sadc Iko na nchi za maana with democracy inaeleweka ukiondoa nchi maskini kina Malawi Zimbabwe Mozambique!!!
Hawa wapigwe ban wajiunge na somalia drc tu
Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzilishi wa SADCC, Zimbabwe, Namibia na South Africa walijiunga.
Definitely kulikuwa na hujuma za mali za umma na ilianza kwa treni ya SGR, tatizo ni nani alipanga kuharibu, kwa maslahi ya nani?
Tumeambiwa ni watu kutoka nje, hii inaweza kuwa kweli kwa asilimia kubwa lakini vipi kuhusu hawa CCM mtandao? Kwa nini familia ya Kikwete inashikilia sana serikali hii ya Samia? Mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hawakufanya hivi? Kwa nini ni yeye tuu?
Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzilishi wa SADCC, Zimbabwe, Namibia na South Africa walijiunga.
Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzilishi wa SADCC, Zimbabwe, Namibia na South Africa walijiunga.
What do you mean by following SADC footprints?Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .
Ukweli upo hapo hapo, na ukiangalia historia tangu wanamtandao walipoingia, wao kwenye kuua na kutumia umafia kutekeleza ajenda zao, siyo ishu.Inaweza kuwa ni power struggles ndani ya CCM au ni conflicts of interest kwenye ma big fish kwenye hicho chama.. hii upande mmoja ukaomba usaidizi kutoka nje. Ndio yakatokea majanga...
Mafia state.What do you mean by following SADC footprints?
Tatizo letu kubwa Tz ni kikundi ndani ya CCM kinachoitwa wanamtandao.Mafia state.
Like 1980s!!!
SADC nchi zinajielewa sana especially the 3 neighbors chini kabisa.
Mende with tentacles!
Sawa Methuselah.Mende with tentacles!
Ukweli upo hapo hapo, na ukiangalia historia tangu wanamtandao walipoingia, wao kwenye kuua na kutumia umafia kutekeleza ajenda zao, siyo ishu.
Tukiutoa mzizi wa fitna (mtandao) kila kitu kinakaa sawa.