NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,314
- 19,674
It’s fascinating how you often dismiss such complexities when the discussion involves Kenya — your conclusion is always that Kenya’s forces are poorly trained, hence their inability to handle riots effectively. This is despite the fact that Kenyans are more aggressive rioters than Tanzanians. Leo hii mshaajua the kind of complexities that come with quelling riots?Wewe nilifikiri unauwezo wa kiakili wa kutazama nje ya BOX.
Look kinachoendelea Tanzania ni machafuko ya kisiasa sawa na kwenye hali kama hii kuna possibilities nyingi.
Moja:
Vyama vya siasa vya upinzani hasa Chadema ndio wenye historia ya kufanya hivi kuhire groups za thugs na huua rais hovyo kama njia ya kuiweka CCM kwenye wakati mgumu na kuchukiwa na umma na kupata international condemnation na mengineyo. So kuna mengi nyuma ya pazia yanayo tokea na kuendelea, uki oversimplify mambo utakuwa mjinga.
Mbili:
Polisi na jeshi hawadeal na watu wako passive. Kikundi kinacho rusha silaha wako na nguo za kiraia na wengine utawaona kwenye clipwakiwa kwenye Toyota Landcruizer nyeupe.
Bro, I know Judge Mutunga went to the University of Dar es Salaam — you never miss a single opportunity to slip that reminder in, as if we could ever forget. He wasn't educated on your taxes, he paid to be educated there. Raila on the other hand used Tanzanian passport to go to Germany because at that time, his father (Oginga Odinga) was at loggerheads with Kenyatta Snr. Same way some of your CHADEMA politicians such as Tundu Lissu use Kenyan passports, come to Kenyan hospitals and have families living in Kenya. That's how politics works. That has absolutely nothing to do with the strength or competence of your army. You have a habit of steering conversations into needless tangents. Nyinyi watu mnapenda sifa za upuzi sana.Is that a lie, hakuna yeyote aliyesoma kwa kodi zetu huko kwenu?
Sidhani kuna uhalisia wa yeye kujiuzulu, huyu ameamua. Viongozi wote wa juu kawaweka mfukoni, the only hope hapa ni kichaa mmoja mwenye 'access' atakayeamua kujitoa sadaka.Internet imezimwa mazima na text haziendi Tanzania kwa siku kadhaa sasa.
As I earlier said, baada ya kuapishwa mafichoni na tarajia Mama atatupa taoulo ulingoni na kujiuzuru, Sioni akiendelea kuongoza nchiya Tanzania to 2030 else Usalama itabidi wamassassinate.
Atapata stroke aatakaa hospital then tutatangaziwa. Its up to her.
Angalia "Vurugu za Mwembechai" Dar es salaam miaka ya 1995It’s fascinating how you often dismiss such complexities when the discussion involves Kenya — your conclusion is always that Kenya’s forces are poorly trained, hence their inability to handle riots effectively. This is despite the fact that Kenyans are more aggressive rioters than Tanzanians. Leo hii mshaajua the kind of complexities that come with quelling riots?
We are talking about THIS riots. Why go to 1995 when some of us were still in nursery when we can analyse using something that is as current as today?Angalia "Vurugu za Mwembechai" Dar es salaam miaka ya 1995
There were riots in Zanzibar ila pia unaweza angalia how riots are well handled.
Wewe unakichaa.Bro, I know Judge Mutunga went to the University of Dar es Salaam — you never miss a single opportunity to slip that reminder in, as if we could ever forget. He wasn't educated on your taxes, he paid to be educated there. Raila on the other hand used Tanzanian passport to go to Germany because at that time, his father (Oginga Odinga) was at loggerheads with Kenyatta Snr. Same way some of your CHADEMA politicians such as Tundu Lissu use Kenyan passports, come to Kenyan hospitals and have families living in Kenya. That's how politics works. That has absolutely nothing to do with the strength or competence of your army. You have a habit of steering conversations into needless tangents. Nyinyi watu mnapenda sifa za upuzi sana.
mbona nipo toka na zamani kaka yangu, upo wapi sasa hivi tujuliane halii, na kuzidisha upendo wetu kama watanzaniaaWewe bongo-live umekuja juzi juzi hapa, hii ni ID mpya? who are you?
Tupe ushahidi lLisu alitumia passport ya Kenya. Lisu's kids are American citizens. Familia ipi unaongelea?Bro, I know Judge Mutunga went to the University of Dar es Salaam — you never miss a single opportunity to slip that reminder in, as if we could ever forget. He wasn't educated on your taxes, he paid to be educated there. Raila on the other hand used Tanzanian passport to go to Germany because at that time, his father (Oginga Odinga) was at loggerheads with Kenyatta Snr. Same way some of your CHADEMA politicians such as Tundu Lissu use Kenyan passports, come to Kenyan hospitals and have families living in Kenya. That's how politics works. That has absolutely nothing to do with the strength or competence of your army. You have a habit of steering conversations into needless tangents. Nyinyi watu mnapenda sifa za upuzi sana.
Wewe ndio kichaa, we no longer live in an era where such blatant lies can pass unchallenged.Wewe unakichaa.
Hakuna Mtu aliyesoma miaka ya 1960s to 1990s aliyelipa fees,awe Mtanzania or mtu kutoka nje. Ilikuwa buree kwa wote na pesa za nauli kwenda na kurudi shule wakati wa likizo zilikuwa zikitolewa na serikali kwa wanafunzi wote bila kujali uraia na hakuna mzazi wa Kitanzania alikuwa akitoa cent moja. Tulipata madafrari, pen, pencils, vitabu, uniforms bure.
Sawa Comrade MapepoRushe shule ukadai fees yako. Ni clear umepoteza pesa za bure. Tanzania haikupeleka jeshi DRC bali some few battalions. Sasa ni mjinga tu anaweza ongea kama wewe kwakua kila jeshi kama ulivyo mpira wa miguu, wanaweza peleka U17 uwanjani kucheza na Djibuti kupata experience same ilivyo kwenye vikosi vya kwenda kwenye kulinda amani ama vita na majeshi ya hovyo kama M23.
Sio viongozi wote ni vile katiba yetu ilivyo na uhalisia kuwa Tanzania ni nchi ya chama kimoja na muundo wa Jeshi letu hakuna kikosi kinaweza pindua nchi wala mkuu yeyote wa Majeshi mwenye uwezo huo bila coordination na wakuu wengine na wote wana kadi za CCM na loyal kwa mwenyekiti wa chama.Sidhani kuna uhalisia wa yeye kujiuzulu, huyu ameamua. Viongozi wote wa juu kawaweka mfukoni, the only hope hapa ni kichaa mmoja mwenye 'access' atakayeamua kujitoa sadaka.
Lissu's children live in Belgium, not USA. They stayed in Kenya before they migrated to Belgium. We Kenyans are not of the habbit of keeping every receipt of the smallest help we give to people, that's why you probably don't know about Lissu using a Kenyan passport. If it was a Kenyan politician who had used a Tanzanian passport, we would never hear the end of it. Anyway, Tundu Lissu used the Kenyan passport in 2017 when Tanzanian officials refused to renew his passport.Tupe ushahidi lLisu alitumia passport ya Kenya. Lisu's kids are American citizens. Familia ipi unaongelea?
You're the only ape-level IQ individual remaining on this thread. The rest have muted. The second dumbest person. REAL Comrade Kipepe is at least 20 IQ points above you.Wakunya hawaa ndio wameingia nchini na kuharibu mali na uhaii
View attachment 3496613
Sikumaanisha muda wa kujiunga JF, bali hapa kijiweni (kenyan sub forum). Mi nipo nipo tuu, vipi we internet haisumbui hapo ulipo?mbona nipo toka na zamani kaka yangu, upo wapi sasa hivi tujuliane halii, na kuzidisha upendo wetu kama watanzaniaa
This guy!Lissu's children live in Belgium, not USA. They stayed in Kenya before they migrated to Belgium. We Kenyans are not of the habbit of keeping every receipt of the smallest help we give to people, that's why you probably don't know about Lissu using a Kenyan passport. If it was a Kenyan politician who had used a Tanzanian passport, we would never hear the end of it. Anyway, Tundu Lissu used the Kenyan passport in 2017 when Tanzanian officials refused to renew his passport.
View attachment 3496611
Mimi nadhani kosa kubwa lilifanyika 2005, maana ukiangalia historia kabla ya hapo TZ tulikua level nyingine kabisa kidiplomasia tuliheshimika sana,kuanzia mzee wa kucheka cheka hadi sasa nchi imekua ya ovyoHata nyinyi wakenya hamko salama na watutsi, umekuwa mkimsikia mtoto wa Museveni akiitishia Kenya. Nilishawaambia, anamaanisha huyo, hayo ni maneno wanayoongea kwenye dining table.
Nakuelewa sana braza.. Tupe tu location yako apo ulipoo..naombaaSikumaanisha muda wa kujiunga JF, bali hapa kijiweni (kenyan sub forum). Mi nipo nipo tuu, vipi we internet haisumbui hapo ulipo?
Enyewe ng'ombe ni ng'ombe tu.This guy!
Sentensi ipi nimesema watoto wake wanaishi wapi? Nimekwambia watoto wote wa Lisu ni rais wa Marekani wapi wanaishi wala sina mpango wa kujua, ni publicly acknowledged na yeye ameongea hili hadharani mara nyingi.
Lissu hajatumia passport ya Kenya na huna ushahi wa hili.