Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf debt to GDP ratio iko over 75% na bado kunashangilia huku world bank wanawaambia muongeze tax kwa kila kitu 😂😂😂😂
Debt to GDP ratio za all developed countries are above 100%, so what's your point?
 

 
Sasa nyie mnajilinganisha nao? wao wana uwezo wa kulipa maskini nyie sasa hata uchumi wa kumudu ustahimilivu wa deni hamna.
Unadhani Kenya ni maskini kama Tanzania? Are you aware that Tanzania walishindwa kulipa deni hadi wakasamehewa?
 
 
Debt to GDP ratio za all developed countries are above 100%, so what's your point?
View attachment 3491499
Hawahitaji kutafuta foreign currencies kulipa madeni yao kama ninyi, their own currencies are eligible to pay back their loans because they sourced them domestically, definitely even some within their own government parastatals, unatiwa gas nyingi sana inaonesha.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Lakini naona wameua mabasi ya blue kwa makusudi ili walete mwekezaji wao
Ni ujinga tu wanafanya. Itakuja siku mambo yatakuwa wazi na watawajibishwa.
Recorded zote zipo.

Mtu kama una access ya wizi na ufisadi bora uwekeze mahali pengine sio kwenye mambo ya umma, maana siku hata kiongozi mkuu wenu akifa anayewalinda, atakuja Mwingine na kufuta kila siku.

Refer kesi za UDART za 2018 za ununuzi wa mabasi ya mwanzo, watu walishitakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…