Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Talanta will have Led screens on each tier all round the stadium. the metal supports of the LEDs have already been placed
1000077309.jpg
1000077280.jpg
 
Wabongo mnajua sana kutunga na kuimba nyimbo za mapenzi ila nyimbo za uzalendo, siasa na general conscious issues hamfikii Kenya ndio maana nyimbo zingine zilizotungwa na Wakenya mnazichukua mkizigeuza kambe za Tanzania kwa global arena kama huu hapa.


View: https://www.youtube.com/watch?v=irmv5Cpuuzo&list=RDirmv5Cpuuzo&start_radio=1

Kuna wakati nikiwa Tanzania nimeskia pia huu wimbo wa Daima Mkenya wa Eric Wainaina ukiimbwa ila ulibadilishwa kuwa Daima Mtanzania. Hiyo version sijaipata YouTube.


View: https://www.youtube.com/watch?v=LdXhhm9dAmA&list=RDLdXhhm9dAmA&start_radio=1

Eti Tanzania hatuwezi kutunga nyimbo za uzalendo
Sikiliza huu halafu unitajie nyimbo ya uzalendo ya Kenya ambayo ni emotional kuliko hii

View: https://youtu.be/je4K5yn83aY?si=5_wngrAb_EFDOwuZ
 
Back
Top Bottom