Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

can be between $3.8 b to $4.2b.... but not exactly $4b usd....
hapo tumeelewana
around maana yake iko karibu sana na figure yani must be 3.9 mpaka 4.1 hzo ni pesa bro, sio estimation za kuhesabu kuku au bataπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

kwenye pesa ukiskia around ujue iko karibu sana tena sana na figure husika

200m usd ni nyingi sana bro inanunua boeing 737 tatu mpya, kwenye pesa ukiskia around ujue iko very very near yani must be 3.95 mpaka 4.05
 
but not $4b πŸ˜€
 
around $4 billion.
meaning it could be anywhere between $3.5b to $4.5b.
does not necessarily means it is exactly $4b.
understand literature
Na bado mnavitu vya kifala tu....gari Moshi ya mwaka 1900
 
but not $4b πŸ˜€
kuelewa ni hiari yako sio lazima ila mantik hapo ni 3.95b upto 4.05b eat thatπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

alafu ndio hio gari moshi ila aisee yani nimeskitika sana kuona mchina kachukua pesa za bure seriously
 
hii ndio Tazara ya 1970's>>>
View attachment 665462

karibu Kenya uje upande Sgr kwa mara yako ya kwanza. ntakulipia nauli
unajua kilichoniskitisha mimi ni kua
4billion usd 477 km from msa to nai gari moshi alaf mkopo bado kuna interest with time limit

3.16b usd 722km from dar to dom modern electric train and second fastest train in africa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ cash from gvt of tanzania

ila mchina hajui kama MUNGU anamuona
 
iko wapi hii 'modern electric... bullet train' ama ni ndoto unaota?
mipango sio matumizi
 
Kama mnajua hamna highway exceeding 2 lanes inueni mikono juu.

Kama mnajua population yenu imezidi 53 million inueni Mikono juu.

Kama mnajuaa SGR yenu Hauna picha na haijaanza wala kukamilika inueni Mkono juu.

Kama mnajua stima yenu haijazidi 1700 megawatts inueni mikono juu.

Kama mnajua mjii wenu mkuu Hauna majumba zaidi ya 13 zenye urefu wa ghorofa 18 na zaidi inua mikono juu.

Kama unajua Nchi yenu haina umeme wa kutosha sema Bongolala.

Kama mnajua port yenu ni ndogo ama inferior to ile ya Mombasa semeni Bongolala.

Kama mnajua Nchi yenu iko kwenye orodha ya Masikini wa kutupwa duniani yani LDC semeni Bongolalas.
 
iko wapi hii 'modern electric... bullet train' ama ni ndoto unaota?
mipango sio matumizi
hehehe siko hapa kwaajili yakukutoa povu mm nakupa facts bro jifunze kukubaliana na ukweli japo ni mchunguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hehehe siko hapa kwaajili yakukutoa povu mm nakupa facts bro jifunze kukubaliana na ukweli japo ni mchunguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hahahaha.... maoni yako ya reli hewa ndio unaita facts????? reli ya 3rd class na haina terminus??? hahaha.... sit down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…