Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna link ya wachina nimesoma kuhusu hio standard gage ya kutoka mombasa na nairobi kumbe ime cost 4b usd duhhhhhh i thought 3.8b kumbe ni 4b usd, nimeshtuka sana aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yani 4 billion usd alaf treni ni gari moshi??πŸ™πŸ™

wakenya mulikosea wapi?????πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
ujenzi wa piinnacle ukwapi maana ishakua nyimbo toka 2014 munaongea kuhusu ujenzi wa pinnacle mara sijui hass , kama upo leteni tuone na kama hamuna endeleeni kutuonesha renders, maana mutaonesha shimo mpaka lini ?????? miaka 5 sasa munaonesha shimo tu hata tofali lakusingizia hamuna, mwengine alileta picha ya montave nilicheka sana aisee kupenda sifa nikubaya sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Happy New year Mla Albino na Mwanagovi wa Tandale. Natumahi maisha yakuendee vizuri utoke kwenye vibanda vya makaburini mwaka huu....
chuki na hasira hazitakutoa kwenye slums sehemu hata nguruwe hawez kuishiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama ni jobless jana show ya Diamond haingejaa..
Mnasemaga ivo as if kenyans are poor....wakenya wengi wanafikisha 2$ a day than TZ kwa mbali.
diamond anakubalika Africa my friendπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hii kitu imenishtua sana 4billion usd serious????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani gari moshi from nairobi to mombasa 4b usd wakenya kweli aisee nimeskitika sana ila mchina ujue Mungu anakuona
 
Hahaaaaaaaaa!
Karibu jf,hii id imefunguliwa leo 1/1/2018
Nahisi ni ya mwaswast[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

around $4 billion.
meaning it could be anywhere between $3.5b to $4.5b.
does not necessarily means it is exactly $4b.
understand literature
 
around $4 billion.
meaning it could be anywhere between $3.5b to $4.5b.
does not necessarily means it is exactly $4b.
understand literature
hehhehe unajua maana ya around yani iwe 3.5 aseme 4 we akili yako timamu kweli, around maana yake iko karibu sana tena sana na figure husika ita may be 3.95 or 3.9b au 4.1 hvi and not 3.5, sometimes upunguze ujinga usio walazima

hizo ni pesa sio mandaziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
can be between $3.8b to $4.2b.... but not exactly $4b usd....
hapo tumeelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…