The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
We nawe wacha uzembe ki article cha 2020 mpk leo unacho, kwa sasa Kenya inaongoza kwa ufukara EA.What do you want me to think about? This one?View attachment 3482006
Nani huyu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tanzanian street beggar arrested by public in Pangani Kenya π€£π€£
1M views Β· 22K reactions | Hii ndio inaitwa instant healing ama? | The lucky mum Debra Nyanchoka
Hii ndio inaitwa instant healing ama?www.facebook.com
Hakijawahi kuisha na hatutegemei kuisha in the near future. Tuna viongozi wazembe sn kwa sasa, they don't care na bado wanatumia pesa nyingi kuongopea watu waende kupiga kura.Mbona mi naona kama hiki kipande kinachukua muda mrefu kuliko muda uliotumika kujenga kutoka Dar-Moro?
Mnachekesha sanaaaaaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£"Kenya hakuna miradi"
Meanwhile
Mwache dam
View attachment 3482167
View attachment 3482168
Thwake damView attachment 3482169View attachment 3482170
Siyoi-MurunyView attachment 3482171View attachment 3482172
Wenzio wanaona fahari kutajwa na Trump hata akiwataja kwa ubaya, makenya ni majitu majinga sanaaaa.Failed state mbili, hizi dharau! πππ
View: https://x.com/the_sambu/status/1973247018912080167?s=46
Hiyo road miaka nenda rudi wameshindwa kujenga, wanasubiri mchina awajengee aanze kubabua majority walalahoi kwa toll.hehehe siti in ze san kwa masikini huku alaf politicians wanapita juu kwa mchinaππππ»
View attachment 3483225
View attachment 3483234