Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chakushangaza ina views zaidi ya 1M
Saa nyingine napokea likes za watu ambao hawajawahi tia neno humu[emoji23][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
bila shaka imetuleta pamoja even though it is in a strange way...but all in all, I have learnt alot abt tz from this thread...before, I never knew anything abt tz...alafu niulize, hivi kwani tanzania hakuna makampuni ya media? especially online media...
 
hii thread imetrend mwaka mzima duh! hii inaonyesha uhasama uliomo kati ya wakenya na watz...I hav a feeling it will still be trending even after 2020 because thats where the real development and transformation will take place..
asante sana buda kwa ku-notice hili jambo.

mimi niliwahi kuligusia mwezi October,pia nikaligusia tena wiki kadhaa zilizopita.

hakika hii thread ni moto.inshallah IPO siku wadogo zetu watakuja itumia kama rejea(reference).

tukutane 2018,tubishane kwa hoja ili tuzisaidie nchi zetu kufikia maendeleo tuliyojipangia.

tusibishane kwa vita,vitisho,visirani wala uadui.
 
hii thread imetrend mwaka mzima duh! hii inaonyesha uhasama uliomo kati ya wakenya na watz...I hav a feeling it will still be trending even after 2020 because thats where the real development and transformation will take place..
No hatred jirani,TZ na +254,ni watani, tunatoa changamoto baina yetu,nadhani 2020,kuna watu watajaza server,na kuna uwezekano wengine wakapotea humu.
 
Tanzanian Kiboko Hatutaki Sifa,Majungi
Hapa ni kazi tu


Nikusaka mapene kwa kwendambele

DIAMOND -NAIVASHA KENYA



HAPANI

LEYVAN VAN BOY - MOMBASSA KENYA




RICH MAVOKO- NAIROBI KENYA



VANESAMDEE DIANI





SAIDA KAROLI- KAMPALA UGANDA



Hahaha watanzania wa 2017-2020 sio wa mchezo mche[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
wacha vijana wafanye kazi walete pesa nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…