Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TZ nyumba nyingi hazijengwi na makampuni.

Hizi fahari za macho hazina future.

Mfano hoyo Fimba ni mradi wa Azam. Lakini wanaonudu kuisho hapo siyo Wazanzibar.

Tunapowacheka Wakenya, hatufakiwi kwenda njia hiyo.
 
Tangu lini Upperhill ikawa CBD? Najua mmezoea kuona Tu gorofa Tatu in your CBD pekee unadhani Kenya pia penye kuna gorofa basi ni CBD. For your information Upperhill is part of Kibera, actually Upperhill is in Kibra Constituency.
Whole of Upper Hill, Kenyatta Market, Ngumo estate, parts of Woodley estate are all in Kibra constituency
 
Hao wanadhani Kibera ni hiyo slum pekee. Actually GDP ya Kibera constituency is bigger than ya Posta.
Alafu Kibra as a constituency has only around 190k voters. Hapo ushaweka voters wa Kibera slum, Woodley, Ngumo, Upper Hill and other areas outside Kibera slum.

Mwishowe, mitanganyika yanaamini Kibera slum alone has 2.5 million people. Enyewe watu ni wajinga hapa nje 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…