Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheki vitu unaandika, naona umepata chance ya kujigamba na ndio unasema umesoma hadi degree. Leta hoja sio majigambo mkazi wa Uthiru wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuita watu scammers ndio kitu unajua, kwa sababu bila hivyo huwezi kutetea Kenya. Taifa lenu litabaki kuwa masikini milele na milele. Tanzania huwezi kuta huu upuuzi. Eti Singapore.
Singapore ya nyoko πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kulia, najua ukweli ndio inakuumiza.

 
The days can't be gone when 99% of Kenyan export to Vumbistan is industrialized goods while Vumbistan only export raw materials to Kenya.

Now tell me, between the two which one is industrialized and which one is still in agrerian revolution?
Why is the monetary value of your exports inferior to our raw exports?

Hope this "agrarian" is what you were trying to communicate.
 
Amuulize NairobiWalker kuhusu mji tu wa moshi. Kuna video alikuwa anaishangaa mji wa moshi ulivyopanuka
Urban sprawl is, in fact, a terrible planning modelβ€”one that contemporary urban planners are steadily steering away from. Still, if you wish to go down that road as a country, the choice is yours.
 
Hata nguruwe wa TZ hawezi kuishi sehemu kama hii,hawa nyang'au wanapumua vipi hapo kwenye mabati mengi namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…