babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,429
- 36,046
Anatumia kama kivuli ili asioneshe bank balance au bank statement yake. ๐๐๐Wewe naye kila muda "scammer" "scammer", Huna hoja ya msingi ๐ฎ๐ฎ
Yeah, hii video. Halafu wanaanza kukataa eti pipeline sio slum ๐๐๐
Angalia nyuma ya CBD yenu ๐๐๐
Haya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima ๐๐๐
Mazingira yenyewe sasaView attachment 3479168View attachment 3479169View attachment 3479170View attachment 3479171View attachment 3479173View attachment 3479174View attachment 3479175
Tangu lini Upperhill ikawa CBD? Najua mmezoea kuona Tu gorofa Tatu in your CBD pekee unadhani Kenya pia penye kuna gorofa basi ni CBD. For your information Upperhill is part of Kibera, actually Upperhill is in Kibra Constituency.Angalia nyuma ya CBD yenu ๐๐๐View attachment 3479265
Fikiria hiyo ni mwaka 2019 na Leo ni mwaka ila bado imezidi ubora wa slums za Nairobi zoteHaya mazingira ya Kibera, Mathare, Uthiru nk huwezi kuyakuta hapa Tanzania lakini Kenya ndio yamejaa nchi nzima ๐๐๐
Mazingira yenyewe sasaView attachment 3479168View attachment 3479169View attachment 3479170View attachment 3479171View attachment 3479173View attachment 3479174View attachment 3479175
In fact hayo maeneo ni majina tu ndio tofauti, ila hayako mbali mbali wala nini. Unasema Dar ina ghorofa tatu, hebu zioneshe hapa, ili tuone kweli apart from ghorofa tatu Dar hakuna ghorofa nyingineTangu lini Upperhill ikawa CBD? Najua mmezoea kuona Tu gorofa Tatu in your CBD pekee unadhani Kenya pia penye kuna gorofa basi ni CBD. For your information Upperhill is part of Kibera, actually Upperhill is in Kibra Constituency.
Wewe aliwahi kujaribu kukuscam?Jamaa ni Scammer. I will continue to remind him of his long life career.
Hata wewe usipochunga atakuscam na mambo za Forex.
Dar hakuna slums, wananchi wamejitahidi kujenga decent houses. Tatizo kubwa la Dar ni ujenzi holela, hili ni tatizo kubwa sn ambalo litatughalimu sn, watu wanajenga hovyo hovyo na sijawahi kusikia mamlaka zikiongelea hilo jambo, nyumba nzr kweli kweli ila hazifuati planning, Dar bado ina nafasi kubwa, mamlaka ingeanza kutilia mkazo katika ujenzi.Mbona huwa hawataji na kuonesha hizo slums zilizopo Dar!
Wanasahau kuwa biggest slum in Africa na duniani yapo Kenya. ๐๐๐
Anadhani kwenda Google earth na ku zoom out kutaweka slums Dar.
Sisi shida yetu kubwa hasa Dar ni ujenzi holela, hiyo manaake ni failure katika usimamizi wa wizara husika, tunahitaji kutilia mkazo katika hilo la ujenzi holela, tofauti na wenzetu ni kwamba sisi tuna ujenzi holela hasa kwa dar, wenzetu wana ma slums everywhere in kenya. Sasa kwao ni ngumu kuondoa ma slums cz slums ni umaskini, ni ngumu kuondoa slums kwa kujenga vighorofa viwili vitatu cz slums ni poverty iliyopitiliza, watu wa kwenye slums ukiwapeleka ghorofani ni kama unawatesa, angalia pipeline ilivyo.Hapa East Africa hakuna sehemu inazidi Kenya kwa slums wewe Mkundustan. Kenya mna slums level moja na India na Nigeria. Kenya haijalishi uende wapi, South, East, West au Central kote ni slums tu, ukienda North ni ukame na njaa๐๐๐
Angalia Nairobi ambayo mnaita world class city ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3479143View attachment 3479144View attachment 3479145View attachment 3479146View attachment 3479149View attachment 3479150
Achana na Nairobi twende Mombasa ๐๐๐View attachment 3479160View attachment 3479159View attachment 3479158View attachment 3479156View attachment 3479155
Nchi nzima imejaa nyumba za matope na mabati na mko hapa mnatrash Tanzania. Kwenye hili suala la slums Kenya mko juu sana.
Kama unabisha nenda YouTube search slum in Tanzania (2024/2025) uone, halafu search slums in Kenya (2024/2025) ndio uone tofauti ya Jua na mwezi. Haki ya Mungu, hakuna slum chafu kama Kibera hapa East Africa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hebu angalia hawa watu wanaoishi hapa, hivi wana future kweli hawa? Nchi za Africa zina watu masikini lakini Kenya mmezidi kwa kweli ๐๐
View: https://youtu.be/6rIV8TlrbLQ?si=nq3I4O_8m7bj2ppO
Yes, nilikataa kumwambia my bank details and from that day huyo Scammer anakuanga na machungu Sana na Mimi.Wewe aliwahi kujaribu kukuscam?
Ndio zile gorofa Tatu kule nyuma the slums.In fact hayo maeneo ni majina tu ndio tofauti, ila hayako mbali mbali wala nini. Unasema Dar ina ghorofa tatu, hebu zioneshe hapa, ili tuone kweli apart from ghorofa tatu Dar hakuna ghorofa nyingine
Ndio shida ya hawa Wakundustan. Wanatafuta picha za slums halafu wanasema ni Dar. Ona sasa wanaleta picha za Jakarta ๐๐๐Imagine mpaka unaokota picha za Jakarta na baadhi za 2016๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hata haiwez lingana
View attachment 3479269
UtotoYes, nilikataa kumwambia my bank details and from that day huyo Scammer anakuanga na machungu Sana na Mimi.
Tunaposema slums hatumaanishi tu mazingira machafu bali pia housing mbovu. Sasa unapoonesha visehemu vichache ambavyo nyie kwenu ni decent basi ni kama unajiongopea, hapa chini nakuonesha nyuma ya hivyo vighorofa vichafu ili ujue kwamba kenya ni mavi.Pipeline is considered a slum in Nairobi ila nyumba zote ni za tofali na bati juu. Tena apartments za choo na bafu ndani View attachment 3479182View attachment 3479184View attachment 3479186
Same as Mathare slum
View attachment 3479198View attachment 3479199View attachment 3479201View attachment 3479202View attachment 3479203
Same as Huruma (also considered a slum)
View attachment 3479205View attachment 3479206View attachment 3479207
Same as Kariobangi (also considered a slum)
View attachment 3479215View attachment 3479216View attachment 3479218View attachment 3479220View attachment 3479222View attachment 3479223
Kawangware the story is the same. Also considered a slum in Nairobi
View attachment 3479226View attachment 3479229View attachment 3479231View attachment 3479233
I can give you so many such examples. Dar has a long way to go
Kwa dunia ya sasa hakuna nchi duniani inakaribia kenya kwa ma slums na mazingira hatarishi, kenya ni special case aiseee.Huwa tunawaendekeza tu kubishana nao kuhusu slums maana kwenye slums hawana mfano hapa Africa. ๐๐๐