Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuonyeshe hizo picha unakana tuone vile vinafanana in 2025. I assure you that they are now worse.

Dar in 2025.

View attachment 3479197
Dar kuna mvua nyingi sana, so hayo maeneo ya uswazi kutokana na kutopangiliwa ndio kunakuwa na maji machafu yanayotokana na mvua

Lakini wewe mwenyewe si unajua Nairobi hadi 2025 inakaa hivi. Sasa imagine hapa mvua ikinyesha hali inakuwaje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata mimi namshangaa, hata hizo anazoita slums bado zina nyumba zilizojengwa kwa matofali na kuezekwa bati juu, ni vile tu mabati ni ya zamani kwa hiyo yana kutu (rust)
But Pipeline is a slum despite having magorofa and self contained rooms?

Ama ikifika Kenya hamuangalii hizo?
 
This just house 40%, in Dar 70% of people live like that.

 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
This just house 40%, in Dar 70% of people live like that.

View attachment 3479211
Not all informal settlements look like Tandale, Dar ina maeneo mazuri tu yenye nyumba nzuri za kuvutia lakini kwa sababu hayakupimwa kipindi mji unajengwa, so they are also considered informal settlements, but they look nothing like Kenyan slums bro. Hatufanani
 
Tukuamini wewe fundi wa Baiskeli ama tuamini World Bank?

 
Thanks for comparing a slum to the CBD of your cleanest town, that alone should tell you how dirty your country is.
Hasty generalisation, here it comes ๐Ÿ™.

ichoboy01 ametuonesha sana picha za maeneo mnayoita premium huko Naipori mfano Westlands. Licha ya kuwa ndio maeneo best ya huko Nairobi lakini takataka zimezagaa kila kona, watu hadi wanachunga ng'ombe in the so called Singapore
 
Wana slums kila county. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pipeline is considered a slum in Nairobi ila nyumba zote ni za tofali na bati juu. Tena apartments za choo na bafu ndani

Same as Mathare slum


Same as Huruma (also considered a slum)


Same as Kariobangi (also considered a slum)


Kawangware the story is the same. Also considered a slum in Nairobi


I can give you so many such examples. Dar has a long way to go
 
Nimeangalia hiyo video, duh ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Teargass umeangalia hii video uone jinsi Nairobi inadhalilisha Africa. Tanzania hatuna kabisa uchafu huu ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ
Huwa tunawaendekeza tu kubishana nao kuhusu slums maana kwenye slums hawana mfano hapa Africa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ