Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚wow! Picha za 2013πŸ‘πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • hqdefault.jpg
    19.5 KB · Views: 29
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚wow! Picha za 2013πŸ‘πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 3475076
View attachment 3475078
Mbona unakwepa picha zote unazoleta hazina validity kwa sasa weka source ya picha yako
Tuko hapa hii picha umesema ni current acha kurukaruka kama mkojo wa asubuhi.
Sasa tuambie hii picha uliyoleta ni ya mwaka 2025?
 
Mbona unakwepa picha zote unazoleta hazina validity kwa sasa weka source ya picha yakoView attachment 3475079
Tuko hapa hii picha umesema ni current acha kurukaruka kama mkojo wa asubuhi.
Sasa tuambie hii picha uliyoleta ni ya mwaka 2025?
wewe ndio unapinga, tafuta nauharakishe chap!chap! KijanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀭vile,vile mnavyokunya hapaπŸ‘ŒπŸ€­πŸ€£πŸ˜‚πŸ™ŒView attachment 3475101View attachment 3475102View attachment 3475103View attachment 3475104
Sasa huoni kama unajiabisha imagine hizo ndo slums za dar es salaam kuna space kabisa ,zimejengwa kwa blocks na baadhi zimepigwa rangi ukienda dandora majority ni nyumba za Tope zisivyo na vyoo, sasa ebu fuatilia the last time Daniel kijo kuripoti kuhusu mafuriko dar ilikuwa mwaka gani? Pole sana najua unahangaika sana kupata picha ila huwez ndugu
 
Hii issued ya Azam kuelekea kupokonywa rights za kutangaza KPL umewauma sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jana niliona moja wenu kasrma alipwe pesa aondokeπŸ˜„πŸ˜„
Ituume, we wish so much azam ahame itakua poa. Si mnaipenda KBC safi give the whole league to KBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…