Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna comparison ya railways hapo..mnajenga AREMA railways (class 3) Ethiopia (class 2) ke na ug (class 1)

Unajua AREMA wewe mpuuzi wa mwisho fala wewe ...ety AREMA class 3 K wewe ...Unataka umdanganye nan kadanganye BIBi zako huko AREMA HAINA CLASS 1 wala 2 hizo ni kwenye Chinese classes za SGR ambayo Kenya ni Class 1 n ethipoia ni class 2 ..AREMA Ni American Railyways Maintenance Association .. ambayo inajengwa Tz
 
kwan bomba la mafuta ilikuaje remember usisahau bado mapema sana, sisi hua tunakuja mwishoni tunachukua kiulaini malizeni maongez na mseven alaf tunamuita kwetu kumaliza deal
 
Arema ukiclassify inakam number 3 after China 1 na 2....China waliimprove arima wakapata class 1 na 2.
 
Kuna comparison ya railways hapo..mnajenga AREMA railways (class 3) Ethiopia (class 2) ke na ug (class 1)
Hafu mbona siku za karbuni mnajikombakomba kwa uganda kuna nini kwan maana nyie hammsifiagi mtu bure...ka kuna waganda hum kueni makin na hizi jizi za nai
 
85%-90% of Tanzanians are not connected to the National Grid. This is funny and at the same time soo so sad.
 
Nakuurumia sana mwarabu yani umeshindwa siku hizi hadi unataja mandazi
huo ndio ukweli wala msijidanganye dunia ya leo mutaidanganya mambo yako wazi sana siku hzi mambo ya uongo uongo yashapitwa na wakatiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

alaf hii ni jamii forum ukikosea tunakuumbua hapo hapo hatusubirii
 
Kenya's Paved roads 9,273 km.

Paved roads in Tz only 1,500 km.

Paved Road Good Condition = 1,026.27 Km z
Paved Road Fair Condtion = 283.37 Km z
Paved Road Poor Condition = 139.91 Km z
Paved Roads Total Kilometres in Tanzania Mainland = 1,449.55 Km
Kutoka apa adi bukoba highway ni 1500km
So kwa takwim zako hyo ndo sehem pekee Tz yenye Rami
Na hamna mtaa wa DSM wenye rami
Kweli once a Kenyan always a Nyani
 
huo ndio ukweli wala msijidanganye dunia ya leo mutaidanganya mambo yako wazi sana siku hzi mambo ya uongo uongo yashapitwa na wakatiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

alaf hii ni jamii forum ukikosea tunakuumbua hapo hapo hatusubirii
Uliishiwa kabisa nlikuambia hapa tutakuponya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…