Nakumbuka nyuma nyuma tulikua tunapambania sana Mpira wa Tanzania , Tumetoka mbali sana, Kuna mwaka tuliilipa Brazil kucheza nao, Wakundustan waliosha vinywa Kinoma kwa kejeli ( ile inaitwa Verbal diarrhea)
They've always believed that northern Kenya hakuna barabara. They can't believe their eyes so such comments are understable coming from themImekuuma sindio?, My friend Kalilie na huko usinipake Kamasiπππ
Kuna maneno yanatumika vibayaπUhalisia wa wananchi wa Singapore
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1966713452216676722?t=FB6clBVYGUAbB_WaJP3Q7g&s=19
Nchi ya kamji kamoja, kwengine kote vundo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£They've always believed that northern Kenya hakuna barabara. They can't believe their eyes so such comments are understable coming from them
Kama hiyo ya northern Kenya iliyokuuma moyo hapo juu, sivyo?Nchi ya kamji kamoja, kwengine kote vundo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
πKumbuka we are dealing with descendants wa wale walioamini kinjikitile Ngwale, mwishowe wakapigwa risasi za matakoππππ so waelewe brother .They've always believed that northern Kenya hakuna barabara. They can't believe their eyes so such comments are understable coming from them
Nakumbuka nyuma nyuma tulikua tunapambania sana Mpira wa Tanzania , Tumetoka mbali sana, Kuna mwaka tuliilipa Brazil kucheza nao, Wakundustan waliosha vinywa Kinoma kwa kejeli ( ile inaitwa Verbal diarrhea)
Leo hii matunda yameanza kuonekana tunapenda Team zetu, tunapenda mpira, wetu na muziki wetu, Tumewekeza na tunaendelea kuwekeza ila, Hiki kizazi masikini cha nyoka kinadhani tumeanza jana na midomo bado mirefu kama Mnara wa Britam πππππ. Mammaae usione vyaelea , Vimeundwa.
Lodwar in northern Kenya ingekuwa huko kwenu ingeshapewa jiji kitambo sanaNchi ya kamji kamoja, kwengine kote vundo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
20,000 per month translates to $5 per day. Let's see how Tanzania fairs in that regard.Uhalisia wa wananchi wa Singapore
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1966713452216676722?t=FB6clBVYGUAbB_WaJP3Q7g&s=19
Hii issue ya highrises walishakosa hamu kabisa, hawataki hata kulitajaView attachment 3471282View attachment 3471285View attachment 3471286View attachment 3471287
πmore renders? ....yes please...okay then, there you goπππ....The Royal Vista twin towers 30 floorΓ2... Nairobi hangojei mtu. man,s on steroids banaaπππ
Siku hizi wanasema kwamba gorofa sio kipimo cha maendeleo πππHii issue ya highrises walishakosa hamu kabisa, hawataki hata kulitaja
Wala, hata mimi nimetoka kitambo. πBrother mimi nimeshaachana na topic hiyo. Unauumiza moyo wako bure tu.
Utani mdogo tu unaumia. Hatujuani kaka.
Tuendelee na battle.
And when TPA ruled the skies of East Africa for one year and they were building highrises in their CBD ilikuwa ni kipomo cha maendeleo! π€£π€£Siku hizi wanasema kwamba gorofa sio kipimo cha maendeleo πππ
πππunakumbuka zile Enzi 2014 ya the 3 mtungi look alike blue towers?... hii ma kinjikitile ilikua na makelele nyingi sana " ati tunawapumulia mgongoni" shut up! π€£π€£ sahi wana pita kimya,kimya...Hii issue ya highrises walishakosa hamu kabisa, hawataki hata kulitaja