Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Full house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Full house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila hakuna timu kundustan ambayo ishawahi kusanya gate fee za kuzidi hata 8mil ksh wakati tzs the highest ilikuwa 23mil ksh.
Tegemea revenue kutokana na gate fee kwa simba day na yanga day each kuzidi 40mil ksh kabla ya matangazo๐Ÿคฃ.
Hakuna siku Kenya mshawahi kuwa na gate fee revenue kuizid Tanzania , mind you mwaka huu the highest ticket fee ni 30,000 ksh/ person . Tutafutie vip tickets za Kenya.
Hakuna timu ya Kenya Inaweza invite timu ya Tanzania kwa friendly match ika afford hata kuwagharamia nauli,posho chakula na mpaka malazi.
Ndo maana mnaona mpaka equity bank yuko radhi kulipia tangazo almost 3mil tsh kwa siku kwa simba day ila hawez weka hata 19,000 kwa league yenu
 
Hii discussion haikuwa kuhusu Gate collections ilikuwa kuhusu attendance so sitajibu lakini hili lingine lazima nikukosoe..

View: https://x.com/TeyaKevin/status/1964709964922151005?t=-HOtkCp4bHiMXal0vAMN9w&s=19
 
Hii discussion haikuwa kuhusu Gate collections ilikuwa kuhusu attendance so sitajibu lakini hili lingine lazima nikukosoe..

View: https://x.com/TeyaKevin/status/1964709964922151005?t=-HOtkCp4bHiMXal0vAMN9w&s=19
Huwez kuwa na attendance kubwa ukakosa kuwa na revenue kubwa, hata tukija kwenye attendance the highest number of attendee mliyowahi achieve ni 48,000 Tena kipindi Cha chan , but imagine kabla ya simba day records ilikuwa ni 55,000 na simba day imevunja record kwa full capacity ya 62,000 attendee.
Sisi bado tunasubiri tuone mkafikisha hata nusu ya kasarani league yenu itakapoanza.
Hata ukija kutoa attendee za simba na yanga bado timu za Tanzania zinapata revenue kubwa hivyo kuweza kuwaajiri mpaka wachezaji wenu.
Kuna majority ya Kenyan wako huko Dodoma FC, tabora FC na kadhalika na wanalipwa hela nyingi kuliko hata hizo heavy weight za Kenya Tena kwa timu ndogo sana
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wale wa thanks for Renders, it's the weekend, dont worry, I got you covered. I present you with The Marble West!. Tayari on the 6th floor wow!๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ