Mashabiki walikuwa wanataka kuona mpira uliozoeleka Simba wa free flowwing football lakini Coach kaficha silaha kuna vita kesho kutwa huwezi anika silaha zako hadharani kirahisirahisi hivyo. anyway tunaendelea ku polish kichwa kuna watu wanakitaka na hii imefanya hata vumbi la DRC liwe adimu mtaani 😁Huu mwaka tulikuwa na agenda ya siri na hivi vitimu vya EA, tumevipiga vyote, now hakuna kelele. Wanapotaja African league ranks hawa jamaa wanapaswa waelewe kwamba vigezo vimezingatiwa, imagine Simba imeshinda jana goli mbili lkn mashabiki wala hawajafurahi kabisa, wanaona bado wana kazi kufikia kiwango cha mtani wao, yn issue wala sio wamecheza na nani, issue ilikuwa ni kuangalia kiwango, yn imefika hatua sisi watanzania tunaziona timu za EA kama za ndondo aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hamna time na sisi you say?🤣🤣Mbona mnatufuatilia sana while sisi hatuna time na nyie?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/p/1FtBGteMsZ/
Na bado hatujakasirika 👇
Wewe unachuki na CCM. Ulisema Tusiongelee mambo ya siasa hapa. Sasa wewe mbona unaleta mambo ya siasa? Tukianza kuweka sisi vitu vya siasa unasema hutaki tena ku comment mpaka uchaguzi upite.CCM bhn, yn utoto ni mwingi sana aiseee mpk wanajichoresha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nikianza kuweka Nyomi ya CCM jana tu Kuanzia Singida na Igunga utaogopa.CCM bhn, yn utoto ni mwingi sana aiseee mpk wanajichoresha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kuifungia jf isipatikane nchini kwenu halafu badae unaingia kwa vpn...Nikianza kuweka Nyomi ya CCM jana tu Kuanzia Singida na Igunga utaogopa.
Kule kigoma Zitto anapelekewa moto na Baba Levo. Nyomi ya kufa mtu.
Hichi unachokifanya ni kufedhehesha Mamlaka ya Rais wetu. So kwa kufedhehesha mamlaka ya Rais maana yake unatufedhehesha watanzania. Rais ndiye representation yetu kwenye mambo ya kimataifa.
Hatuwezi kukubali kiongozi wetu kufedheheshwa na watu kwenye mitandao ya kijamii wao wanajiita watanzania kumbe wapo na nia yao ovu.
Nakuomba wewe endelee na battle ya Dar es salaam vs Nairobi,
Maana kama tukiamua kuchafua mitandao uwezo huo tunao mkubwa mno na hakuna wa kutuzuia. Lakini tumeamua kuchagua Ustaarab tu. UVCCM pekee ipo na members more than 5M. Tukiwaambia vijana 1000 tu waingie mtandaoni wafanye vurugu hizi mnazozifanya hakuta kalika.
Brother ukituona sis CCM mnatutukana tunakaa kimya ni kwa sababu tu wana CCM wanafuata maagizo ya viongozi wao.
Hivi unadhani wewe kweli kwa akili yako unaweza kuwazidi wana CCM kwa lipi?
Do not try to undermine the power of CCM. Tukiwakazia kidogo tu mtaanza kulia.
Simba na Yanga ni matawi ya CCM Huwezi kuwa kiongozi wa Simba au Yanga kama wewe siyo Mwana CCM.
What did you guy achieve with riots?You know nothing about Kenyan riots. You’re cowards, so you’ll never understand how riots actually work. While people like Diamond and Harmonize are busy licking Suluhu’s ass, in Kenya artists like Bien, Khaligraph, Arrow Boy, Nameless and others were out on the streets protesting. Are you seriously trying to say those people are poor?
You can continue pleasing yourselves but even you know when it comes to courage and speaking up for our rights, there is no comparison between you and us. I see no reason to continue this argument. Ni kama simba kupingana na paka nani mkali.
Brother nimekuambia ukitaka tuuharibu uzi huu kwa kuanza kujibishana mambo ya kisiasa, sisi ni wengi sana. But tunapoamua kuweka Ustaarabu wetu usituone sisi wajinga.kuifungia jf isipatikane nchini kwenu halafu badae unaingia kwa vpn...
hilo tu linafanya sisi wengine tuone ccm hamna akill hata kidogo...
jana mlijaribu kuingilia mpira kama kawaida yenu na majibu mumepata...
Nonsense.Brother nimekuambia ukitaka tuuharibu uzi huu kwa kuanza kujibishana mambo ya kisiasa, sisi ni wengi sana. But tunapoamua kuweka Ustaarabu wetu usituone sisi wajinga.
Hapa ni Campaign Uyui Leo Tabora
View attachment 3469489
View attachment 3469490
Walikimbia mini tournament kisa internet! Na sie hatutaki!Mbona mnatufuatilia sana while sisi hatuna time na nyie?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/p/1FtBGteMsZ/
Na bado hatujakasirika 👇
Anapaswa ku-partner nao na kujenga shipyard Tanzania ku-manufacture catamarans!haya kilimanjaro nine hio iko njian
naona amekimbia australia amerudi china kwa baba wa dunia 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DOaRLXDjUDL/?igsh=MWlzdXhsdWY2b210OA==
Check mambo tunayoenda nao CCM yajenga nchiNonsense.
Nimekuambia hakuna ulinganisho wa kimpira kwa sasa baina ya kenya na Tanzania, wewe unaongelea past ambapo tulikuwa sawa kiuwezo ila kwa sasa hatupo sawa katika level zote, kuanzia national team both men and women mpaka youth level, huku kwenye level ya clubs ndiyo kabisa tumewaacha mbali mnooooo.Umuhimu gani tunajipa wakati nyinyi ni customers wetu at club level and national team level? Anayejipa umuhimu sasa ni wewe mwenye unasherehekea ushindi wa kwanza wa Simba dhidi ya Gor baada ya miaka sijui mingapi nayo ni friendly match!
Kipindi kile nilipata msaada...
Tarehe 16 kazi mnayo mzee, mkicheza mpira ule mliocheza dhidi ya timu dhaifu Gor Mahia basi kipigo cha 6 mfululizo kinawahusu. Bro, Yanga tupo serious, hatutanii na hatuna huruma aisee, sisi msituletee uchale mliofanya jana dhidi ya wakata mkaa Gor Mahia, mtaaibika mzee.Mashabiki walikuwa wanataka kuona mpira uliozoeleka Simba wa free flowwing football lakini Coach kaficha silaha kuna vita kesho kutwa huwezi anika silaha zako hadharani kirahisirahisi hivyo. anyway tunaendelea ku polish kichwa kuna watu wanakitaka na hii imefanya hata vumbi la DRC liwe adimu mtaani 😁
Taarifa zako kila mtu anazijua acha mbwembwe za kipumbavu.Kipindi kile nilipata msaada...
Ingekua utawala huu, hata nisingethubutu kuandika uzi...
Maana hii sio serikali ya watu wa chini.