Nikadhani ni Mkapa kwa kuwa imepigwa juu sana, lakini nikajiuliza, mbona pamekuwa pori sana? Dah, kumbe ni Naipori?The great stadium of Kasarani.
Some witches once tried to compare their ugly Makwapa Stadium with Kasarani.
View attachment 3469132
Hata sijamaliza tayari kitombo kimeanza, leo 5 leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gor Mahia nimeona ni timu ndogo sana. Haiwezi kucheza pass zaidi ya tatu.
Leo chama langu Simba kwa mkopo namm😂
Walikuwa wanatumia Nguvu sanaNilichogundua wachezaji wa Gor Mahia uwezo wao ni mdogo sana
Wakati kula yao ni shida 🚮Walikuwa wanatumia Nguvu sana
Gor Mahia wangeifunga Simba leo ungeona yule nyang'au Teargass alivyo na kelele lakini kajificha hivi sasa😂Asanteni kwa kuitazama Gor Mahia. Ingekuwa makosa kuwafunga ilhali mumegharamia kila kitu 😂
Tumezoea kuwafunga, itawachukua miaka kama 20 kufuta hio rekodi.Gor Mahia wangeifunga Simba leo ungeona yule nyang'au Teargass alivyo na kelele lakini kajificha hivi sasa😂
Cc: Mimi Wewe Yule
Kujiliwaza ni ruksa, lakini leo Gor Mahia wamefungwa na Simba. Huo ndio ukweli wewe nyang'au🤣Tumezoea kuwafunga, itawachukua miaka kama 20 kufuta hio rekodi.
Maokoto matupu mkuuu😎Naangalia Simba day hapa, 99% ya mashabiki uwanjani wamevaa jezi mpya za Simba msimu huu mpya na uwanja umejaa mashabiki zaidi ya elfu 60. 😂😂😂
Nb: bei ya jezi moja ni 45,000 Tsh.
Kilakitu ugali tuu hawa nyangauWalikuwa wanatumia Nguvu sana
Wavunja kuniWalikuwa wanatumia Nguvu sana
And you wanted Gor Mahia to win against Simba every time? That would be a monopoly! Katika mchezo wa mpira lazima kuwe na mshindi na mshindwa. Gor has always been beating Simba so sijui hii furaha yote ni ya nini and it was only a friendly match!Kujiliwaza ni ruksa, lakini leo Gor Mahia wamefungwa na Simba. Huo ndio ukweli wewe nyang'au🤣
Cc: Mimi Wewe Yule