Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wawekezaji wakilipa Kodi ananufaika nani? Wewe na PLPL hamnufaiki? πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://www.instagram.com/reel/DN5MwwxCJZE/?igsh=enJ2a3FmdDQ1d2Zl
Anyway mama hagombei πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hagombei au CCM kwenyewe hawamtaki ndio maana hakutaka apigiwe kura maana ingekua aibu ya karne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

marais wote walipigiwa kura ndani ya CCM yeye pekeake kapitishwa juu kwa juu unafkiri kikwete alikua hajui kama atapigwa chini mapema asbh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣 🀣 🀣
Wacha nikuache.
A reason I say nyinyi Mpira hamjui, mna mihemko tu ya siasa, hata kujaza uwanja kwa kuvunja magate was due to political distress.
Sasa mmealikwa mmeenda Zanzibar kucheza tournament inaitwa Muungano, mkakuta Kuna team mbili, Moja ya Tanzania mainland na nyingine ya Zanzibar, Yaani Taifa stars has been split into two, Kisha Wachezaji wote Muhimu hawapo, then mkaotea kufunga mainland na mnajipiga chest, mbona husemi mlifungwa na Zanzibar on same muungano bonanza,?
A reason I said even chan was a joke, sababu wakati south Africa inacheza huko Uganda their premier league matches were still ongoing. Meaning that they brought Jennitors to the tournament.
Same thing you won against Morocco, then mko full na wao they brought their u21 just for experience.
Fools.
 
SSH hatogombea atapigwa chini πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nyinyi mama yenu aliwaambia uchumi wa Tanzania unafanya vizuri hadi kushinda ulaya na marekani, lakini ya kenya ndo inakuwasha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hili nakuunga mkono usimlaumu nae ni mwanasiasa pia kama ruto
 

Naongea na mtu mwenye hata hajui Zanzibar is not part of Taifa stars. Yani haelewi team yake ya nchi alafu ananiambia tubishane naye kuhusu mpira. instanbul kuja uchukue hii ng'ombe yako?

Kwa hivo Kenya ndio wachezaji wake muhimu walikuwa? Wacheni excuses buana. If you are a football nation then your reserve team should be able to beat our reserve team.

Wee enda ujifunze Taifa Stars ni nini ndio uje tuongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…