Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaipa CCM umuhimu isiyokuwa nayo, unataka kusema CCM hii ya leo inaushawishi mpaka UN, maana wao hawasemi kama kuna slums?

Sasa nani kapigana na UN kama sio bongolala wenzako. Soma thread.
UN wamesema TZ imajaa slums kuliko Kenya.
Sisiemu ndio kawadanganya.
 
 
Diamond ametukosea Sana wabongo baada ya kusema wadada wa Kenya wanaelimu ila Dada zetu wa Tanzania wana utamu. Diamond anapaswa kutuomba radhi watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ