chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hizi upper cutz zako ni unusual mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania ina model tofauti na Wakundustan.
Tanzania inafanya Low Density, High Quality, High priced Tourist products. Angalia tu bei za one night Four seasons serengeti au Manta resort achilia mbali Thanda island.
Linganisha na Kundustan ( Mass Tourism) ambapo mpaka backpacker ( mtalii mwenye kitanda na tent yake analipa tu 10 Usd) ukute hata misosi kabeka yake. Atashindana wapi na High Quality High priced tourist products za Tanzania, Thanda Island room ni US$33,300 per night, na lazima uwe na minimum 5 nights ndio uweke pulizo zako pale 😂😂😂😂
Vivyo hivyo kwenye mambo mengine hawajui kwa kuwa wamechimbia vichwa chini na wanapenda sifa.
Mtanzania soon tena wa Mbagala atakua anatembelea bus lenye AC na Free Wi-fi while Tajiri yupo kundustan anasambaza tu kunguni. Yaani kunguni wa nyumbani anapelekwa Kwenye lorry linalozaimishwa liwe bus na kunguni wa Kwenye lorry anarudishwa nyumbani yaani ni mixed kunguni breed zinabadilisha tu mazIngira. Kuna kunguni anaweza kunduankarudi getho flani mara kadhaa😂😂😂😂😂😂😂
Na Bado ni connecting airport. Kenya airways inalazimisha kutua hapo ili watu wapande ndege nyingine.
Same as Ethiopia's Bole
Airport za Tanzania ni za watu wanaokuja Tanzania sio kuconnect. Flights.
Kuna something kuhusu tourists arrivals. Kenya have to provide real data
Ignore tu hao watu maisha yaendeleeKampeni zikiisha nitarudi, watu wanaharibu huu uzi kwa maslahi binafsi. Kwaherini 👋
Wasituzoee tuna mambo mengi tofauti na wao. Yaani hatupo lane moja kabisa😎🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hizi upper cutz zako ni unusual mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣
Kigoma tu Bujumbura 🤣🤣🤣🤣Sisi hatutumii probox. 🤣 🤣 🤣 Wanafiki wakubwa.
Wiki iliyopita alipost hiyo barabara akaambiwa iko under construction akawa anabisha naona leo kajipiga Kidole cha mkundru. 😂😂😂Kigoma tu Bujumbura 🤣🤣🤣🤣
Barabara zenu zote hua under construction. 🤣 🤣Wiki iliyopita alipost hiyo barabara akaambiwa iko under construction akawa anabisha naona leo kajipiga Kidole cha mkundru. 😂😂😂
Endelea kujipiga vidole vya mkundru tu.Barabara zenu zote hua under construction. 🤣 🤣
Sa unataka kulia. 🤣 🤣 🤣Endelea kujipiga vidole vya mkundru tu.
Hii nikama kutoka Nairobi hadi mariakani...😳😳😳