Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣
 
Huyo jamaa kafanya nimecheka😅😅

View attachment 3456272
Mombasa ni kweli,nimesafirisha sana sofa,makabati na magodoro,mombasa hadi leo nguo nyingi zinatoka TZ,ukiwa na mtaji mkubwa hizi nguo za akina mama abaya sijui,msa unapiga hela,wenyewe kwanza wanakuambia wapo close na TZ kuliko naikundu,tukaikomboe mombasa yetu
 
Tena we mbwa ukome kulinganisha mitaa za bongo na ushuzi wa kunyarenda. 🤣🤣🤣🤣 tandale zenye magorofa.
 
Chokoraa unapenda sana places zimechafuka. Mbona hungepost SGR Station ya Nairobi if that’s what you wanted to do?

Naelewa wewe ni chokoraa but learn to do a proper comparison.

Chokoraa mkibera hasira zako za ichoboy01 kuwepo naikundu peleka huko nyau ww,na vimeno vyako vyeusi kama nguchiro visivyopiga mswaki,mngese machafu chafu maji sumu
 
Lakin mawazo yanakuja. Mwendokasi za Phase 2 na phase 3 zikianza zitaondoa foleni.
Maana daladala kibao hazitakuwepo tena, itabaki foleni ndogo ya magari binafsi, bajaji na bodaboda. Bajaji na bodaboda bap zinaweza kupungua ikiwa mwendokasi itasimamiwa vzr.

Angalia Morogoro road, foleni zimebaki pale daladala zinapopakia na kushusha abiria, au pale machinga wanalifanyia kází Barabarani au sehemu zenye ujenzi kama KIMARA. Kwingine hakunaga foleni kiviile. Na hapo mwendokasi inasuasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…