Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewapiga sindano zimegonga hadi mifupa wanaugulia maumivu ukipata mda tupe Nganya zao, standi za mabasi yao, ikiwezekama uliza na vitu wanavyotumia kutoka Tanzania kama Sabuni, vinywaji, vyakula, ili tujue nani ni supa pawa
 
Hawa ndio wanahudhuria maandamano na kwenda uwanjani Bure kwa kuruka gateπŸ˜‚
 
This is poverty in real sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…