President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Where is it basi?Bado unapinga na kitu kilifunguliwa thread na Watanzania wenzako? instanbul mbona watanzania mnakuwanga wabishi kwa vitu vinavyoonekana wazi? 🤣 🤣 🤣
Hizi hapa ambulance bajaj made in Mwanza, Tanzania
What is the meaning of Ambulance? :director::director::director::director:www.jamiiforums.com
Ila wewe jamaa unafurahisha, Imagine umefika hadi kigoma and guess what huko kigomo ukitaka kuonesha eti Kenya inaizidi utakazana na Nairobi.Nilidhani hizi baiskeli za mbao ziko Congo tu, kumbe bongoslum pia ziko. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/KigomaTanzania/status/1834921167615861247
Imagine jamaa kafika Kigoma na atakwambia ni Dar huku atatafuta picha ya Nairobi kuonesha ni nzuri kuliko Kigoma.Jamaa wanaumizwa sana na maendeleo ya TZ,ndio wapo tayari kuokota vipicha vya sehemu nyingine huko ili waichafue tu nchi yetu
😂😂😂😂Nioneshe kilomita moja ya reli. Muda unakimbia sana. Kuna kenge walikuwa hawaamini vitu kama hivyo ndio vitakuwa juu ya reli yetu
Kigoma mbona ipo poa!?😂😂😂😂
Huoni huyo mwingine kakimbilia Kigoma now huku akijichoresha imagine Kigoma 1000+kmh from Dar ndio anaenda kutafuta vitu vya kuonesha Nairobi ni nzuri.
While anaacha Northern Kenya mtu anaitwa TAJIRI anakula mzoga na anategemea msaada wa chakula, usalama zero.
Imagine
Yaani ni vichekesho tupu, mtu anakunaga na msaada wa Daftari wa kupewa primary.
Huku yeye ana msaada wa kuzuia kunya vichakani 😂
Ila wewe fala hizo basi za Chaka kwa chaka si ndizo ziko hadi CBD Yenu au umeziona hizo ukazuzuka kua tupo kama nyie? What is this? Jitu lipo kuropoka as if lipo nchi ya maana.🤣 🤣 🤣 wueeeeeehhh
Embu tuoneshe side walks hapa. people are literally walking on the road.Ulisema you'll prove me wrong. I'm still waiting.
Thika road has sidewalks from Nairobi to Thika. Take that to the bank. Mkipata sidewalks kidogo mnaona ni miujiza. Mnapenda ubishi wa kiujinga.
Huyo jamaa wameshaanza kumuita WORIA aka Somali😂😂😂😂
Huoni huyo mwingine kakimbilia Kigoma now huku akijichoresha imagine Kigoma 1000+kmh from Dar ndio anaenda kutafuta vitu vya kuonesha Nairobi ni nzuri.
While anaacha Northern Kenya mtu anaitwa TAJIRI anakula mzoga na anategemea msaada wa chakula, usalama zero.
Imagine
Yaani ni vichekesho tupu, mtu anakunaga na msaada wa Daftari wa kupewa primary.
Huku yeye ana msaada wa kuzuia kunya vichakani 😂
They even have donkey ambulances hao nyangau
Kama hizi aiseee yn za tangu mkoloni mpaka leo, vijumba vimechoka kweli kweli, no wonder huwa wanaweka picha za mbaliView attachment 3454383
Maku nyie
Sisi tulio kwenye hiyo industry huwa tunacheka tukuona hawa wanuka mavi wakishangilia profit ya KQ, ndege ina ma delays na ma cancellation kila siku, na sio tu dar mpk nairobi ni mwendo huo huo, inawezaje ku record profit? Hata hizo loss wanazosema ni ndogo, hakuna abiria anaitegemea kq kwa safari, unaweza ukaondoka leo kwa kq kuelekea SA tu apo lkn ukafika keshokutwa, ndege ya kifala sn kq. Ukiona abiria anapanda kq ujue ni kwasababu ya cheap price.Mahesabu yamekataa! Wameshindwa ku-cook Vitabu!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100053076714173/posts/pfbid0ige8xACpAWkmZUqsiqTJhFBvA2hdD24KihMk2BTSipUSt1euUZLE1g1765pyrvbl/
Kigoma ni 1600km from Dar