Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Republic of Vumbistan. 🤣🤣🤣

I said it bongolalas are the biggest hypocrites in the world. Si nilidhani hua hamtumii probox kubeba abiria. 🤣 🤣 🤣

Mazingira mabovu ya nairobi yamekupa kisukari umeenda kutafuta picha za vichaka za Tanzania ili upate nafuu 🤣🤣🤣🤣.
 
Kama kawaida mnakuanga the biggest hypocrites na mnapewa msaada hadi ya mipira na text books. 🤣 🤣 🤣







We kenge should we go ground nani anapokea misaada ya kutweza utu?

Hao wanafunzi wa primary ulitaka wapewe crowns?

Upo unachonga wee utafikiri uko USA or something what the f*ck is this then, imagine nchi tajiri inahitaji msaada wa kutojisaidia ovyo na vichakani?

 
Hii ambulance imeletea bongolala hasira. 🤣🤣🤣

Mzee wa open defecation
Picha ya kwanza


Sioni chochote kua ni ambulance ya Tanzania Government, zaidi ya NGO kujaribu kuleta moja for test hatujui hata iko wapi?

Second picture umeibeba kutoka malawi as if GOOGLE IMAGE LENS hujui inaexist



How desperate mko kweli yote hayo kisa Whole 100B GDP kumiliki this




Wazee wa Open defecation ya msaada
 
Jamaa zuzu linalazimisha tufanane. 🤣🤣🤣🤣. ***** kweli hilo fala.
 
Bado unapinga na kitu kilifunguliwa thread na Watanzania wenzako? instanbul mbona watanzania mnakuwanga wabishi kwa vitu vinavyoonekana wazi? 🤣 🤣 🤣

 
Naomba uende Thika road maana NairobiWalker ni mbishi sana. Wakati nimeiona kipande kubwa cha hiyo thika road hakuna sidewalks
Ulisema you'll prove me wrong. I'm still waiting.
Thika road has sidewalks from Nairobi to Thika. Take that to the bank. Mkipata sidewalks kidogo mnaona ni miujiza. Mnapenda ubishi wa kiujinga.
 
Ulisema you'll prove me wrong. I'm still waiting.
Thika road has sidewalks from Nairobi to Thika. Take that to the bank. Mkipata sidewalks kidogo mnaona ni miujiza. Mnapenda ubishi wa kiujinga.
Nyie mnatuweza kwa side walks? 🤣🤣🤣 idadi ya km za side walks zilizopo Dar zinatoshana kuweka in 3 three different cities hapo kunyarenda.. no tanzanian will brag of having them here. 🤣🤣🤣 nyie mkipata side walks kidogo taifa zima linafika kushangaa. Wewe ukiwa mmoja wapo pumbavu zako. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…