Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ndio unaamua which countries are developed. Unafanya kazi ya kuosha choo IMF ama? 🤣 🤣


View: https://www.instagram.com/p/DEVAZofsmq7/?utm_source=ig_web_copy_link
Wenzako wanajiweka developing country list kilazima ili kupata favor ya World Trade organization.
Ila China Ina all criterias of developed country.
Wacha kukariri kama ng'ombe.
Embu soma hapo chini.
USA walishaitisha kura kwaajili ya kuitoa China kwenye list ya developing countries.
Maana imeshavuka criterias zote.
 
Average for HDI, WB and IMF ni data uchwara according to you? Wacha kutumia emotions kubishana.
Nishakuwekea article kule kasome.
Kwanini China ipo kwenye list ya developing ilhali imevuka criteria zote.
Shida mnakariri tu kama mang'ombe.
China imejilazimisha kuwepo humo kwaajili ya kupata favor ya WTO katika biashara kimataifa.
 
Nishakuwekea article kule kasome.
Kwanini China ipo kwenye list ya developing ilhali imevuka criteria zote.
Shida mnakariri tu kama mang'ombe.
China imejilazimisha kuwepo humo kwaajili ya kupata favor ya WTO katika biashara kimataifa.
Ju article ndio hufanya ranking. 🤣🤣 Oneni pumbavu, ranking inatoka Kwa calculated data.
 
Hii ndio kitu hua tunaita opinion na kila mtu ana yake. Sasa leta data kutoka credible sources Wacha emotions za ushenzi.
 
Ni wapi kwa hii article imesema China is a developed country? Highlight sahii nione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…