Ona hii nyangwele mmaa.Sasa ona mshamba, I clearly said developed and developing countries not LDC's like bongoslum. Usiwe mjinga unadhani ukiishi kwa estate huwezi jijengea nyumba yako? π€£π€£π€£
Which 1 month tournament have you ever hosted? π€£ π€£ Maskini hawezi toboa mwezi mzima na hana disposable income.Tushazoea mashindano kabambe sio hayo ambayo kwenu ni ndotoπ€£π€£π€£
Hio ambia mama yenu.
Exactly that's why context is very important, China is a developing country and also Burundi is a developing country. Now go back and understand the context.Ona hii nyangwele mmaa.
Developing countries ni nchi za low middle income na low income.
Kitendo Cha kusema developed and developing countries ni sawa na kusema dunia nzima.
Hata developing countries hujui kama LDC ni included!?
Ndo maana tunawaambia nyinyi ni washamba na siku zote mtu mshamba akibahatisha anapiga kelele sana, huwez shindana na nchi ambayo dhamnanya league yake ni 10times yenu kwa ajili ya mashindano ya mara moja .Which 1 month tournament have you ever hosted? π€£ π€£ Maskini hawezi toboa mwezi mzima na hana disposable income.
Nani kakwambia China ni developing country!?Exactly that's why context is very important, China is a developing country and also Burundi is a developing country. Now go back and understand the context.
What is the highest get revenue collection have you ever achieved ili tupime kama nyinyi kweli mnapenda mpira au mlikuwa mnaenda kushangaaWhich 1 month tournament have you ever hosted? π€£ π€£ Maskini hawezi toboa mwezi mzima na hana disposable income.
Kaka unabishana naye nini huyo mjinga!?Ndo maana tunawaambia nyinyi ni washamba na siku zote mtu mshamba akibahatisha anapiga kelele sana, huwez shindana na nchi ambayo dhamnanya league yake ni 10times yenu kwa ajili ya mashindano ya mara moja .
Ndo maana unaulizwa the highest revenue kwenye mpira ni kiasi gani unakimbia .
Kama mngekuwa hamuendi kushangaa kiwanja tulitegemea muwe at least mnaongoza kwa mapato ya mpira kwa nchi za east africa ila hampatikani , kwahiyo kilichowapeleka uwanjan ni ushamba
Now you are diabetes expert? Tukupigie makofi. π€£π€£π€£haha best healthcare injustify more diabetes ? ...
Haha namjua vizuri kuna muda inabidi tu umenjoy maana hanaga akili na Wala hakuna anachojua .Kaka unabishana naye nini huyo mjinga!?
Huyo ni attention seeker tu.
Humu ndani walishaelezwa sana kuhusu sababu za TZ kutohudhuria kiukamilifu mechi za CHAN.
Ila bado wanashupaza akili.
Kama watanzania ni masikini wanawezaje kujaza uwanja kwenye mechi za ligi?
Yanga ilicheza na Rayon sports mashabiki walisafiri kutoka TZ kwenda Rwanda utasemaje hao masikini!?
Mpumbavu huyo mpuuze tu.
Waambieni tu kuwa 600,000 ni sawa na 30,000 kshwaonesheni hzo bei za tickets yanga na simbaππ»ππ»ππ»ππ» kwenye tamasha zao
View: https://x.com/youngafricanssc/status/1959191965439815806?s=46
View: https://x.com/simbasctanzania/status/1959138368442290570?s=46