Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kocha hachezi mpira, wachezaji ndo hakuna. Hapo sioni mtu anaweza pewa namba Harambee stars. Inshort league yenu imevuliwa chupi 😂😂😂
We matako kweli wewe.
Mna mchezaji gani wa kumfikia Feisal Salum nyie?
Nikisema hamujui mpira mnakataa.
Taifa stars ubora wa wachezaji ndio uliamua matokeo sio mbinu za kocha.
Kocha ni mtu muhimu katika timu yeye ndio anayepanga mbinu za uchezaji mpira.
Ndio maana unaona timu ilifanya vibaya wa kwanza kulaumiwa kocha.
Kaa ukilijua hilo kama wewe ni unajua Mpira.
Barcelona ilikua na wachezaji nguli kina Rakitic,Messi,Iniesta,Neymar n.k n.k,mbona Luis Enrique alipewa mkono wa kwaheri!?
 
Chanika na kivule unakujua?
 
Wewee ume sare na Madagascar!?
Kwa ulivyojitapa Kenya mlitakiwa mumfunge goli zaidi ya mbili Madagascar. Matokeo yake mkasarw akawatoa penati.
Huyo Madagascar angecheza na sisi asingetoboa.
Vipi hujui sisi tulimfunga Morocco na watu kumi uwanjani nanyi mkapigwa na huyo Morocco ama unajisahaulisha tu.🤣🤣
 
09
Hii project inamkondesha Mama ngina na kila siku


View: https://www.instagram.com/reel/DKRw_AEKCjY/
Ninachoipendea Tanzania ni kuwa mradi huo hata usipotimizwa awamu hiii utakuja kufanywa hata na awamu nyingine huko mbele mfano wilaya niliyotea kuna miradi tulikuwa tunasimuliwa toka miaka ya tisini hadi ujenzi kwenye hayo maeneo yakazuiwa kuendelezwa lakini umekuja fanywa 2019
 
Vipi hujui sisi tulimfunga Morocco na watu kumi uwanjani nanyi mkapigwa na huyo Morocco ama unajisahaulisha tu.🤣🤣
Nikisema hujui mpira nitakua nimekosea!?
Yale yale narudia hapa.
Kenya mlikamia mechi mkamfunga Morocco kwa bahati.
Hamkumfunga Morocco kwa ufundi.
Kwa namna ambavyo mlijitapa kumfunga Morocco basi Madagascar ambaye mlimsema mwepesi alitakiwa ale goli zaidi ya mbili.
Ila Kenya mpira hamuna Madagascar aliwazidi mbinu na kila kitu.
Haukutakiwa kutolewa na Madagascar timu ambayo iko chini sana kiviwango.
Morocco mliwabahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…