Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Isiolo international Airport👇👇
View attachment 3447947
Maisha yanaenda kasi asee hii ilikua ya kulingishia hapa way back wapuuzi wanatuletea airport za Mabati.

Baada ya mpango wa kujenga na kurenovate viwanja vyote vya ndege

Now wanaona aibu wanatamani hata international iondoke 😂😂😂

Same kwa shaolin temple za SGR
 
Wazee wakujipa umuhimu, eti tikiti🤣
wakunya mko idle sana, yaani mazuzu wanatunga story wenyewe, kisha wajinga wenzao nao wanajaa kufarijiana, yaani mkuu wa nchi aache kufanya ishu sensitive za nchi ahangaike na nyie ?
Na hakuna kiongozi yoyote aliyewahi kuitolea ufafanuzi barua ya kuzuia wageni. Iliwekwa Bassi ndio nitolee mijitu imelia weee.

Leo eti tiketi 😂😂😂
 
Naona ushaamba ulianzia hapa 😁

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…