Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni DRC iliyochangamka
 
DRC pale walipo ni program ya mataifa ya western,kunyaland program yao imesetiwa na kenyata family,ile familia hadi nchi imeipa jina lao then wakawatengenezea na ukabila,nchi inayomilikiwa na familia
Kuna settlers wengi Kenya.

Kuna kipande cha wakoloni, kilichobaki wakachukua wanasiasa wakiongozwa na Kenyatta
 
na sasa nimeamini kwann hii awamu hii imekopa pesa nyingi sana kuliko awamu zote zilizopita combined πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

kama matumizi yenyewe ni haya wanahaki ya kukopa pesa zaidi ya 56 trillion in just 4 good years
 
Whenever I get a chance huku uswahilini huwa naongea maneno kama haya!! Upinzani hapa Tanzania ni comedy tu!! Ndo maana hata hao Chadema siwaamini pia.
Baada ya kujizatoti kwenye kujenga misingi ya chama shupavu wao wapo kwenye uwanaharakati tu!! Kila kitu kupinga bila hata ya kusoma upepo!!

Ila CCM nayo inahitaji reforms, tena kubwa. Kwa mfumo huu hakiweza kutupeleka kuwa nchi ya Asali na maziwa.

Ila tatizo wasomi hamtaki CCM, matokeao yake mnawaachia, wazoa taka, mama lishe, wabeba mizigo wawachagulie viongozi ( sio kwa dharau lakini). Wasomi mnatakiwa kuvamia kuanzia chini kabisa, ila mambo ya kununua kura kwa 10,000 yaishe.....la sivyo tutalia mpaka kiama. Ila wachumia tumbo ndo watatuongoza tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…