Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yanga hizo point kazipata misimu miwili tu,na kama angefanikiwa kuingia robo msimu uliopita angekusanya point 12
 
haya wana mombasa muingie kwa wingi sana kwa msanii wetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo unataka kulinganisha matakata ya porini huko Naipori vs Oyster bay.? 🀣🀣🀣🀣 mtu anaeishi kando ya bahari + it’s 2-3 km from the city center alingane na mpumbavu wa Karen in the middle of no where (the so called Karen)? Hebu toa tongo tongo. πŸ‘‡πŸΎAppartmet ya Oyster bay it’s supposed to be 4 times expensive than those ones in Karen due to their location. Usilinganishe machaka huko kwenu na miji iliyoendelea pumbavu. 🀣🀣🀣
 
punguza ushamba nani ananunua hO appartments zaidi ya politicians na wazungu kutoka nje au big investors ww hujiulizi kwann kibera alone ina watu million 3 what about other 99 slums ???

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oyster Bay can't even compete Milimani in Kisumu.
 
Leta evidence that Kibera has 3M people. Leta evidence that only politicians and wazungu ndio wanaishi Karen.
 
hawa ndio owners wa hzo appartment nyinyi mutaishia kula githeri na chapo hapo makuru kayaba na makuru kwa njengaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/moneyacademyke/status/1956178084689801478?s=46
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…