Huyu quack hukua short wire kwani?Tanzania has never won any match at AFCON.
That's a fact that you can't dispute.
Zuwenna alisema tukiongoza group anatugawia k***a 🤣 🤣Wakenya hawatapata hata alama moja, eti wako kwenye group ngumu sana.
Hold my beer.🍺 🤣🤣🤣
View attachment 3437632
Wasifike semis. Mimi hata sitaki tukutane nao Kasa. Nataka tuchezee Namboole UG ndio wasiseme tulikuwa na home advantage. Ama tuwacharaze kwao pale Makwapa.🤣 🤣 🤣Hawa tutachinja asubuhi na mapema. Naomba Tu tuwashike Quarter finals pale Kasarani 🤣🤣
Umia polepole kijana. 🤣 🤣Mgumba kapata mimba anatema mate mtaa mzima. 😂😂😂
Nenda ukalie mbali.Usipoelewa hapa naku ignore niendelee na mijadala na watu wazima.View attachment 3437652
Uchukue Kocha kwa mbinu gani?Hapa tuliangukia. Naona SA wakimchukua though.
Mbona msiaidi wenu 1M ya madafu? Si huwa mnajiita matajiri wa Istiafirika? 🤣 🤣Uchukue Kocha kwa mbinu gani?
Wachezaji wameambiwa watapata 1M wanajituma kama punda.
Zero talents
Zero tactics
Just motivation, and hunger
Vuvuzelas are uncomfortable to the ears, glad they banned them
Maana yake nini?Mbona unaumwa na jina ni langu hilo Magonjwa Mtambuka 😎
Naumia vipi wakati Tanzania imeshafuzu hatua inayofuata ikiwa na point 9!Umia polepole kijana. 🤣 🤣
Meza wembe ufeHawa waarabu wameniudhi sana leo😎😎
Maana yake ni nanhii😂Maana yake nini?
Since KENYA is a very corrupt country, I'm tempted to think that they may have bribed the Moroccan team coach. Ruto is not someone you can trust when it comes to giving illegal incentives 🤣🤣🤣This is football. The atmosphere is electric. Wakenya wanajua kushangilia, hata after CAF banned celebration items bado tumesababisha. Bongolala wakicheza utadhani ni mazishi.🤣🤣🤣
View: https://x.com/fufatv1/status/1954540633063903680?t=2RrGSXVyaG-wgCXStbJe4Q&s=19
Sifi.Meza wembe ufe