Unakimbia ukienda wapi?π€£π€£ππhaya mm nilikwepo kwaheriniππββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ sijui ntaweka wapi sura yangu kwa kweli
You mean amateur ?β¦ stick to Swahili..π€£π€£Kenya ni amateure team.
so simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??πππHampendi mpira nyinyi, munapenda Simba na Yanga tu. Hii CHAN imewa expose mbaya sana.
Kenya hamuna timu kuishinda Taifa stars kwa sasa.Nimekuwa nikiwaambia hivo for the longest time hawaskii. Wanaamini Wana timu noma kutushinda.ππ
Mgumba kapata mimba anatema mate mtaa mzima. πππso simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??πππ
Hujui ball, CHAN affects FIFA rankingUnajua maana ya CHAN??
I can't imagine the atmosphere at Talanta kama Kasa imekua hivi leo.πHii AFCON ya 2027 naona tukihost pekee yetuπππ
View: https://x.com/ali_naka/status/1954528403358351847?t=4xJQ2OfdV1_J-KIcdXC6Aw&s=19
In that Kenyan group Kenya is the least ranked but funny enough ndio anatop the groupππI will bet today watu wa Bongo will not mention FIFA rankings π€£π€£π€£β¦ a 10 man Harambee Stars beats the 12th Globally FIFA ranked team Atlas Lionsβ¦ the top African team..woooow!!!!
Sihitaji kukuelezea hilo tena.Yule Quack anayejiita Kosugi karibu aninyonge hapa vile nilimwambia FIFA rankings haichezi ballπ€£π€£ππ
Ni kama timu za Zanzibar zikiwa zinacheza na timu za bara. Wanacheza jihad sana. Hamna timu mleKenya hamuna timu kuishinda Taifa stars kwa sasa.
Wachezaji wa Kenya NJAA ni KALI.Nimekuwa nikiwaambia hivo for the longest time hawaskii. Wanaamini Wana timu noma kutushinda.ππ
Compare and contrast πππ€£πππso simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??πππ
Nchi ya team mbili.π€£π€£ Hakuna mpria munapenda nyinyi.so simba na yanga hua wanacheza nn? au hua wanacheza rede??πππ
But not with crucial points kama AFCON.Hujui ball, CHAN affects FIFA ranking
Na ndio maana nilikuambia usituletee mambo ya FIFA rankings hapa. Wewe mambo ya ball ilikupita kwa mbali Sana.Sihitaji kukuelezea hilo tena.
Yote ya yote huu ni mpira hata Saudi Arabia alimfunga Argentina world cup.
mgumba akipata mimba basi muda wote anahamu ya kupelekewa moto tu πMgumba kapata mimba anatema mate mtaa mzima. πππ
Nimeona mwengine pale Tik Tok alisema anatamani tukutane nao knockouts nikacheka tu. Nikasema huyu hatujui.πTanzania wanacheza na viwete wanadhani watawezana na Kenya.