Morocco fighting for a draw. π€£π€£π€£Hapa Morocco wakijaribu ni drawππ
Hawaamini tunapiga timu iliyopiga Portugal.πππNakuambia wangekula kwa hii kundi la Kenya wangekula wameshika mkia saa hiiπ€£π€£π
Huingii tu kirahisi aisee hesabu point.Hawaamini tunapiga timu iliyopiga Portugal.πππ
Vile naona after Chan tunaingia top 100 FIFA rankings.
Achilieni kundu Sasa.ππMorocco ******* nao vile vile.
Washapigwa gemu Kenya kashinda hii na Kenya haishuki tena pale juu.
Kenya ishapita robo fainali.
Natabiri hii CHAN inabaki moja kati ya nchi za Afrika mashariki.
Unajua maana ya CHAN??Hawaamini tunapiga timu iliyopiga Portugal.πππ
Vile naona after Chan tunaingia top 100 FIFA rankings.
Hata hio bottom 100 tuliingia ju ya ban. Hio haikuangi territory yetu, inakuanga ya bongolalas. π€£π€£π€£Hawaamini tunapiga timu iliyopiga Portugal.πππ
Vile naona after Chan tunaingia top 100 FIFA rankings.
Wapi nimesema mpinzani dhaifu!?Achilieni kundu Sasa.ππ
Nilisema humu ni ngumu sana Mavumbistan kumkongole Mkenya. Heri aseme opponent ni mdhaifu lakini kusema Kenya ni noma hawezi.π
Sasa ngojeeni vijana walioenda Spain akina Adrine Kibet waingie National Team ndio mtajua Kenya ni nani.ππ
Hawaamini the power of the 12th manππMorocco fighting for a draw. π€£π€£π€£
Yani majamaa wanaumia kweli kweliπ€£π€£πAchilieni kundu Sasa.ππ
Nilisema humu ni ngumu sana Mavumbistan kumkongole Mkenya. Heri aseme opponent ni mdhaifu lakini kusema Kenya ni noma hawezi.π
Sasa ngojeeni vijana walioenda Spain akina Adrine Kibet waingie National Team ndio mtajua Kenya ni nani.ππ
Saahii fake James Bond na mbilikimo huwezi wapata humuπYani majamaa wanaumia kweli kweliπ€£π€£π
Tanzania wanacheza na viwete wanadhani watawezana na Kenya.Mambo haya.ππ
Nakwambia tungewekwa hilo. Kundi kundu la Vumbistan tungekuwa tunapiga mtu Tano mtungi Kila game.π
View attachment 3437629
Nimekuwa nikiwaambia hivo for the longest time hawaskii. Wanaamini Wana timu noma kutushinda.ππHata hio bottom 100 tuliingia ju ya ban. Hio haikuangi territory yetu, inakuanga ya bongolalas. π€£π€£π€£