Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika project muhimu inayoendelea Tanzania ni hii hapa ya kuongeza campus ya vyuo vikuu kwenye mikoa karibia 20plus Tanzania , hii inaenda kuongeza capacity ya vyuo vikuu Tanzania .

Human Capital ni kitu muhimu sana kwenye maendeleo ya nchi hapa sasa tutaona Human developement ikiongezeka , ukiunganisha na project zile za VETA , na mtaala mpya wa Elimu primary school mambo yanaenda vizuri.

Kinachobaki ni kusisitiza matumizi ya computer na kujifunza coding kuanzia primary school
 
Bora kwa lipi? Ama kukwama msituni?
 
ilikuwa ni intially sikuhizi umesikia any news umeme umetrip?

Better Locomotives
Better energy usage
Cheap to run
Enviromental friendly
More efficent
Fast can do more trips per day
It’s not about electricity but mechanical issues. You bought second hand trains.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shida yetu sisi hatupendi ukweli ila kagoma ni mchezaji wa kawaida sana tena ni no 6 wale wakizamani wakuingia uvunguni muda wote

no6 wa kisasa mtazame mtu kama duke abuya au aucho au camara yule wa barkane
Shida ni altenative
 
Wakenya washaanza kufurika Kasarani Stadium. Kuna wachawi walinunuliwa 10,000 tickets lakini bado wameshindwa kujitokelezaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…