Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,232
- 35,645
Mitura ni mavi mixer githeri na chang'aa lazima madish yao yayumbeIla Wakenya Sijui Mnakulaga nini
Mbona wengiwenu wajinga wajinga tu
Yaani Hata ukiingia Mitandaoni Iwe Tiktok au Twitter ni Vile vile
Vijana wengi Unaona kabisa Hawapo sawa Kichwani ni kama Mnamtindio wa Akili aisee!!
Who the hell is you ?… wewe ni Mgeni hapa ama wewe ni alter ego ya Venus Star… 🤣🤣🤣🤣…..Ila Wakenya Sijui Mnakulaga nini
Mbona wengiwenu wajinga wajinga tu
Yaani Hata ukiingia Mitandaoni Iwe Tiktok au Twitter ni Vile vile
Vijana wengi Unaona kabisa Hawapo sawa Kichwani ni kama Mnamtindio wa Akili aisee!!
Bado Tanzania hatuna no. 6. But sehemu zingine zote tumekamilika. Hamza yupo slow hawezi cheza no 6kagoma sio mchezaji wa kutumainiwa tena atakuja kui cost sana simba ana ule uchezaji wakizamani
Mmezingirwa na nchi takataka tupu kasoro Kenya na kiasi uganda.TZ inapakana na nchi 8, ila wao kelele kila siku.
Shida ya kujipa ukubwa ambao hawana.
Only jirani wa Tanzania mwenye slums na njaa ni kenya pekee.Mmezingirwa na nchi takataka tupu kasoro Kenya na kiasi uganda.
Wengine wote ni upuuuzi.
Kifo na usingizi
Since according to Bongolalas, statistics win matches, hereby is the 115th FIFA ranked team dominating you and almost kicking your ass ..😁😁
View attachment 3436997
Karia ni muhuni kama rais mstaaf. Timu za taifa hazina makocha.Bado Tanzania hatuna no. 6. But sehemu zingine zote tumekamilika. Hamza yupo slow hawezi cheza no 6
Kwa taarifa yako leo Taifa Stars imeshinda na inaongoza kundi. Jazeni uwanja kesho na mshinde mechi yenu😂
hamza hawezi wala kagoma hawezi the only one can play no 6 ni dickson jobBado Tanzania hatuna no. 6. But sehemu zingine zote tumekamilika. Hamza yupo slow hawezi cheza no 6
At this point CAF washaajua nani atakuwa main host wa AFCON.😂😂
Hadi mtoto wa kike amejiridhisha kama weww ni mpumbavu 🤣🤣🤣 nadhani ingekua busara kukaa kimyaa bwana Mwaisa. 🤣🤣🤣Who the hell is you ?… wewe ni Mgeni hapa ama wewe ni alter ego ya Venus Star… 🤣🤣🤣🤣…..
Anyways, if you comprehend English well , you should not have a problem with what I posted since it was a direct response to a similar post about Kenyan matches… capeesh!
Mutasingwa na nashon ni namba 6 asiliaBado Tanzania hatuna no. 6. But sehemu zingine zote tumekamilika. Hamza yupo slow hawezi cheza no 6