mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,460
- 6,886
It’s called being humble … something you might not comprehend… ama unataka aseme nini , “when we were about to touch the ground, I peeped through my window and was astonished by the level of poverty infestation in this city as far as my eyes could see but Simba is a great team “… there I fixed the truth for him …🤣🤣🤣🤣Teargass nairobae mwaiofhawaii NairobiWalker
Mwenzenu hata usingizi hakupata. Tuoneshe Mtanzania anaenda kucheza timu yeyote Kenya akiongea hivi 😂
Hizi domo domo ndo nimetaja.. tu visababu wakati mnatia aibuKumbe 48,000 ndo kwenu mmevunja record , wengi wenu mnaenda kuangalia uwanja , kabla ya hapo hakuna record yoyote mliyowahi kufika hata 35,000
Nikimaanisha Toka Dunia iumbwe Kenya haijawahi fikisha revenue ya hata 10mil sasa Leo kujaza hako kauwanja mnaona mmekuwa maarufu🤣🤣🤣🤣🤣
The highest attendance ya Tanzania on record is 52,000 nitafutie match ya Kenya iliyowahi fikisha hiyo attendance
Hapo mpaka wanasiasa wanawanunulia ticket. Ingefaa mngekuwa mnaleta records kabla ya chan sababu Tanzania hakunaga mahaba na taifa stars hasa baada ya kutokuwa inaperform vizuri miaka ya nyuma
Subiria twende kwenye ligi za vilabu tuwaone kama hata robo ya uwanja mtafika
Lakini Tanzania hadi sasa anaogoza kwa pointi sita au sio?😎Attendance kwenye game ya Tanzania ilkua only 14,000 wakati kenya ilkua 48000 na Uganda 35000.
Footballing nation ni domo domo tu wanajua
Vipi mara ya mwisho kufikisha hiyo idadi ni lini maana sisi Kila mwaka tunajaza ,ila kwenu lazima iwe ndoto kwa maana ndo mara ya kwanza kufikisha hiyo idadi🤣🤣🤣🤣.Hizi domo domo ndo nimetaja.. tu visababu wakati mnatia aibu
Option za mpira Tanzania ziko kibao mpaka kwa mabasi ya mikoani mtu anaangalia mpira, sasa Kenya nzima hakuna basi hata moja linaloweza onesha live mpira mkiwa kwa safarLakini Tanzania hadi sasa anaogoza kwa pointi sita au sio?😎
Chni hizo masikini ndio zinainua ligi yenu matajiri. Nhci hizo masikini ndio zimewaajiri kwa maelfu na nyi matajiri hamna hata uwezo wa kuajiri watu wenu wala uwezo wa kujilisha.It’s called being humble … something you might not comprehend… ama unataka aseme nini , “when we were about to touch the ground, I peeped through my window and was astonished by the level of poverty infestation in this city as far as my eyes could see but Simba is a great team “… there I fixed the truth for him …🤣🤣🤣🤣
Mwenzako hakupata usingizi alipoambiwa aje asaini simba🤣🤣🤣🤣Chni hizo masikini ndio zinainua ligi yenu matajiri. Nhci hizo masikini ndio zimewaajiri kwa maelfu na nyi matajiri hamna hata uwezo wa kuajiri watu wenu wala uwezo wa kujilisha.
Hatukunyi kwa mifuko ya Rambo sie!
Nikiangalia hizi picha mbili, Kenya's good side is better than Tanzania's good side. Kenya's bad side is also better than Tanzania's bad side. Tanzania's good side doesn't even have paved roads. 🤣 🤣
Ushamba tu wa uwanja,hamna kingineKumbe 48,000 ndo kwenu mmevunja record , wengi wenu mnaenda kuangalia uwanja , kabla ya hapo hakuna record yoyote mliyowahi kufika hata 35,000
Nikimaanisha Toka Dunia iumbwe Kenya haijawahi fikisha revenue ya hata 10mil sasa Leo kujaza hako kauwanja mnaona mmekuwa maarufu🤣🤣🤣🤣🤣
The highest attendance ya Tanzania on record is 52,000 nitafutie match ya Kenya iliyowahi fikisha hiyo attendance
Hapo mpaka wanasiasa wanawanunulia ticket. Ingefaa mngekuwa mnaleta records kabla ya chan sababu Tanzania hakunaga mahaba na taifa stars hasa baada ya kutokuwa inaperform vizuri miaka ya nyuma
Subiria twende kwenye ligi za vilabu tuwaone kama hata robo ya uwanja mtafika
Hybrid ( desso grassmaster).Hii pitch ya Uganda iko vizuri.
Ni natural grass au artificial tuff?
Sio lazima, kunaweza kuwa updated hivyo hivyo, ona mfano Japan, mitaa ni membaba hata gari mbili hazipitiki ila ziko paved vizuri na sewage system. Ni uamuzi tu na uthubutu.Kwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.
Kwanza tunahitaji kurekebisha mipango miji ya mitaa ndio barabara zipite.
Sio lazima, kunaweza kuwa updated hivyo hivyo, ona mfano Japan, mitaa ni membaba hata gari mbili hazipitiki ila ziko paved vizuri na sewage system. Ni uamuzi tu na uthubutuKwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.
Kwanza tunahitaji kurekebisha mipango miji ya mitaa ndio barabara zipite.
Huwezi kulilia Ku roam free in another country like it's your birth rite halafu watu wakuchukulie serious, haiwezekani. Wani wanacholilia ni kwamba Tanzania iwe kama moja ya county yao, yani unaingia Tu, bila hata passport, unakaa unavyo taka, unalima unavyotaka, and the worst part is unafanya vyote hivyo bila kulipa uhuru, maana hutambuliki kisheria huku.Retaliation cards are on the table....kenge kinyanjui alisema hapaa...zile cards zimegeuka magarasa nini?
Kama kawaida they tuck in their tails... Malofaa
View attachment 3436106
Nenda kiwalani,buza na mbagala,uone barabara za mradi wa DMP,zilivyopita mitaaniKwa Tanzania bado sana upande wa barabara za mitaani.
Kwanza tunahitaji kurekebisha mipango miji ya mitaa ndio barabara zipite.