President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,620
- 94,218
Kama kawaida Republic of Talkovia aka Mouthnationa Republic, Kundustan taarifa imeandikwa 2020 sasa hivi tunaingia 2026 huoni kuwa wewe ni mwehu?Nani hapa anafaa kumaliza umasikini kwake kwanza kabla ya mwenzake?
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=vuqzkV1WCE6YlUQ1DVGH5w&s=19
Tuletee ya 2025 inayosema tofautiKama kawaida Republic of Talkovia aka Mouthnationa Republic, Kundustan taarifa imeandikwa 2020 sasa hivi tunaingia 2026 huoni kuwa wewe ni mwehu?
Hiyo ni kazi yako Nicxie vipi huko Republic of Talkovia aka Mouthnation Republic, kundustan mnaendeleaje na njaa?Tuletee ya 2025 inayosema tofauti
Hapa CAF imeonea hawa Jamaa😂😂😂.
Fine ni ya nini when they fans didn't even show up for the game😂😂🤣
View: https://x.com/CliveKyazze/status/1953516185842332108?t=_1uPrB7rBhqHtvAy9cQGFA&s=19
Hilo group lenu tunapiga wote, we are going to win this chan.Tanzania ingekuwa kwa group ya Kenya saa hii wangeshika mkia huko nyuma 😂😂🤣
View: https://x.com/grok/status/1953536018172588086?t=eiF-jmpIlkxGkMPAj0fdRg&s=19
After having a meeting with your fellow baboons in the forest that's the conclusion you came up with?Hilo group lenu tunapiga wote, we are going to win this chan.
Kwikwikwikwi Teargass na football wapi na wapi 🤣 🤣 🤣 🤣Tanzania ingekuwa kwa group ya Kenya saa hii wangeshika mkia huko nyuma 😂😂🤣
View: https://x.com/grok/status/1953536018172588086?t=eiF-jmpIlkxGkMPAj0fdRg&s=19
Embu soma nilichoandika kwa uelewa soma tena.Kwamba barabara sio muhimu kwa mtanzania? Mnapenda sana kujifariji mapungufu yenu yakiwekwa wazi
Kwanza inahusu nini hiyo taarifa maana mie post za Twitter hazifungukagi kwangu.Kama kawaida Republic of Talkovia aka Mouthnationa Republic, Kundustan taarifa imeandikwa 2020 sasa hivi tunaingia 2026 huoni kuwa wewe ni mwehu?
Hakuna TV kenya. This is the proofKsh1.5M for every player in two matches.
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1953518243357843584?t=qOzaaR_hY_Fp0SqtwLye5A&s=19
Malizeni njaa huko Kenya na msaidie watu kwenye slums pia msaidie watu wasio na Kazi.Nani hapa anafaa kumaliza umasikini kwake kwanza kabla ya mwenzake?
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=vuqzkV1WCE6YlUQ1DVGH5w&s=19
70% of Tanzanians live in slums.Malizeni njaa huko Kenya na msaidie watu kwenye slums pia msaidie watu wasio na Kazi.
Hivi una habari kuwa madaraja ya hapo Kenya watu wanaishi ndani ya penyo zao?
Tena wanaishi familia kabisa zaidi ya Tano au sita au zaidi.
Kacheze rede.Those stats are understable in football when you are playing with a man down for 70 minutes and still hold your opponent to a draw. Ingekuwa ni nyinyi sijui mngelimwa mabao ngapi!
Kwikwikwikwi, Everyone in the world knows the Republic of Talkovia aka Mounthnation Republic, your job is to get dirt off your mounth and hunger70% of Tanzanians live in slums.
Ikinyesha umati fans wanaondoka!Huu uwanja hauna hadhi ya ku host michuano mikubwa, ni aibu sanaa kwa huo ukanda wenu wa EA.
Nyinyi hamfai kuongelea mambo ya fans cause your stadiums are always empty.Ikinyesha umati fans wanaondoka!
Nani hapa anafaa kumaliza umasikini kwake kwanza kabla ya mwenzake?
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=vuqzkV1WCE6YlUQ1DVGH5w&s=19