Unadhani rank inakujaje bila kucheza Mpira?Rank haiechezi ball Mr. Quack.ππππ
Na Sudan kusini ambao waliwafunga wapo kwenye rank ipi?It's the only team kwa top 100 kwa hio group yenu. Nyinyi wengine wote si mko bottom 100. π€£ π€£ π€£
Ingekuwa Rank inacheza mpira basi Angola na DRC wangetushinda. Wewe kila siku utabaki kuwa quackππUnadhani rank inakujaje bila kucheza Mpira?
Senegal ya ngapi vileee πππ€£π€£π€£π€£It's the only team kwa top 100 kwa hio group yenu. Nyinyi wengine wote si mko bottom 100. π€£ π€£ π€£
Tunaongelea CHAN, kwa group yenu team moja pekee ndio iko top 100. Ukweli uongo?Na Sudan kusini ambao waliwafunga wapo kwenye rank ipi?
Aya tuambie.
Senegal ya ngapi vileee πππ€£π€£π€£π€£It's the only team kwa top 100 kwa hio group yenu. Nyinyi wengine wote si mko bottom 100. π€£ π€£ π€£
Unatuletea friendly match, huna hata aibu.Senegal ya ngapi vileee πππ€£π€£π€£π€£View attachment 3435411
Walipokuwa juu ya bongo huyo nyangβau kila siku alikuwa anatamba eti leo ndio anajifaya ndizi mbichi hiziπUnadhani rank inakujaje bila kucheza Mpira?
Rank ndio Ina determine ubora wa timu kwa wakati huo.
Unadhani sisi tumewashushaje ninyi kirank?
Mbugila tope wewe
Kwenye hii tournament huna cha kuongea na football nation, ina points 6, imezifunga team ambazo hamzikuti kiubora wala kwa rank.Unatuletea friendly match, huna hata aibu.
Na wajue CAF walisema watatumia hii tournament kupanga AFCON. Bongolalas are in the gutters bana. π€£ π€£ π€£Watanzania wameanza kujidharauππππ
View: https://x.com/1Cypher0/status/1953502438998053009
Hata hiyo friendly match mliogopa mkajifanya kukimbia ha ha haπUnatuletea friendly match, huna hata aibu.
CAF wameshawapiga faini au unajisahaulisha?πNa wajue CAF walisema watatumia hii tournament kupanga AFCON...