Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We fala wacha ubishani wa kijinga.
Kariakoo haipo hapo.
Kariakoo ipo kulia zaidi kwenye jengo la TPA.
Na hakuna barabara ya Moja kwa Moja kutoka TPA kwenda Kariakoo.
Wakenya ni wabishi wa *******!!
Dooh!
 
Leo hii kelele wamekuwa wakitupigia humu kitaisha. Walidhani hii competition itatuvua nguo alafu wao ndio wanavuliwa. I'm sure AFCON mambo yatakuwa hivo hivo. 🀣 🀣
 
Hata games za visiting teams bado viwanja ziko empty kwanza sana. Mukubali tu hosting imewashinda. The stadiums are always empty, day in day out.
 
The last time we were in AFCON tuliwagonga tatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tanzania is the only country in the histroy of AFCON without a win in that competitionπŸ˜‚
Jichekeshe na Mavi ya kale ila kwa rekodi za sasa Tanzania ipo juu kwa viwango kuliko Kenya.
Usisahau wewe wa 109 na TZ ya 103,una misimu miwili hujashiriki AFCON.
Endelea na mavi ya kale.
 
Last time walilaumu DRC hawachezi vizuri. Leo hii wanalaumu Angola. Sunday watalaumu Morocco. Yani jamaa haziwezi kubali kusema Harambee Stars ni wanoma. Imagine pale wanapoangalia mpira zile hasira ziko hapo. 🀣 🀣
Tulaumu Angola wakati wamewatomba na mpira wamewachezea, mda wote mlikaa nyuma na goli mkapigwa, c mshukuru CAF, refa kaambiwa asiende kwenye VAR akatae tu goli, kwenye mpira nyinyi bado sanaa. Hii michuano ndo itaonesha nani baba kwenye huu ukanda wenu usiojua mpira.
 
Leo hii kelele wamekuwa wakitupigia humu kitaisha. Walidhani hii competition itatuvua nguo alafu wao ndio wanavuliwa. I'm sure AFCON mambo yatakuwa hivo hivo. 🀣 🀣
Stars ina point 6 mnusa gundi, nyie hampiti hilo group, mko hovyo, yn mpira mnaocheza ni kama ule tulikuwa tunacheza 10 yrs back, no wonder last time tuliwafumua bao 4🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwa hizi stats wangekuwa wanajua Mpira wangenyamaza tu kwa aibu, bahati mbaya hawajui mpira ndio maana kelele ni nyingi humu.
Noma sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…