Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Nimeona mahali mtu akisema ati serikali Yao iliwalipia 10k tickets but wakasahau kuwalipia na fare ya kuwapeleka kwa stadium na ndio maana stadium is not even 1/4 full😂 🤣 🤣Huko bongoslum hata hio vibe ya CHAN hakuna, yani hawa bongolalas wameboeka, wanaendelea tu na maisha yao ya ufukara kama kawaida. Hata online hype hakuna. 🤣 🤣 🤣 Hapa ndio wanajifanya wanafwatilia, huko nje they don't even care about this tournament.
Hapa tunatafuta ushindi wa mara moja tu tayari
Tunaweza tena bila wasiwasi😁...so sijui kama yetu ya 200 bob ndio mtaweza?
Kama 50 ndio imewashanda?Tunaweza tena bila wasiwasi😁
Lakini kesho nitaangalia mechi ya Harambee stars hata kama hutaki. Najua saa hizì unatetemeka huko uliko😂Kama 50 ndio imewashanda?
Yani hata baada ya watu 10,000 kuingia bure bado mkapa ni half empty na ni team ya nyumbani inacheza
View attachment 3434232
View attachment 3434229
Meanwhile kenya mashabiki wanastruggle hata kununua tiketi. Mechi mbili za kenya zifuatazo tickets zishaisha tyari
View attachment 3434234
Watanzania ni domo domo tu wanajua
Tunawasubiria Leo baada ya kupigwaSince Tanzanians cannot afford 50 bob for a game, I am willing to pay for 10 fans for the next game involving Taifa stars . That’s 500 bob equivalent of .20 cents dollars… (wow! that’s crazy cheap )… I will give $2 to cover 10 tickets, food and drinks.. any takers?.. 🤣🤣🤣… ( insults are welcome)
View attachment 3434453