Na sisi tukileta viwanda vya mkoa wa Pwani pekee server za Jamii Forums zitajaa hapaMombasa inaizidi Dar wacha kutaja vijiji chakavu humu..., ndio maana omba omba, vijakazi kutoka Tanzania wamejazana huku.., kuna hela, middle class population ni kubwa.., Tanzania Dar ndio jiji pekee la watu kukimbilia kutafuta..,
CFAO Assembly line, Mombasa
View attachment 3432035
View attachment 3432036
View attachment 3432038
AVA Assembly line Mombasa
View attachment 3432040
View attachment 3432041
View attachment 3432043
Mombasa fixing Tanzanian boats.., among others..
View attachment 3432062
Mombasa
View attachment 3432063
View attachment 3432064
View attachment 3432071
View attachment 3432073
Ndio maana Mombasa ina combine Dar plus pwani and other vijijini kwa pamoja..., walishafika na bado wanaendelea kuongezea., fikisheni Pato ya port zenu zote combined kule pwani to level with Mombasa kwanza Kisha uje.., mambo ya "tuna" na "tuta" Koma.., ngoja yaishe..,Heb twende kwenye ukweli, naona unafaa kupata elimu kuhusu Tanzania, There are 3 largest industrial parks coming up in Pwani Region alone, one of them is SINOTAN INDUSTRIAL PARK the largest in the region (Make google your friend). There are several car assembling plants in Pwani region.
Pwani has many industries than any other region in Tanzania.
Sahii tunavyoongea kibaha alone iko na idadi kubwa ya viwanda vinavyotoshana na Nairobi nzima. Hiyo Mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🤣🤣🤣🤣
Tunakuwa na diversity kwenye urban commuting landscape as long as all sources are domestically accessible haina tatizo.Electric buses really? Na mbona si LNG? Tunaigaiga bila kuangalia ni kipi kinatufaa zaidi based on our environment?
Uko na rukhsa.,.Na sisi tukileta viwanda vya mkoa wa Pwani pekee server za Jamii Forums zitajaa hapa
Mombasa inaweza kuwa relevant ikishindana na Pwani labda katika sector ya bandari. Forget about Dar. Dar ni taifa kubwa. 🤣🤣🤣 we Lia Jamba ila ukweli Ndio huo. Arusha is a fare comparison to Mombasa.Ndio maana Mombasa ina combine Dar plus pwani and other vijijini kwa pamoja..., walishafika na bado wanaendelea kuongezea., fikisheni Pato ya port zenu zote combined to level with Mombasa kwanza Kisha uje.., mambo ya "tuna" na "tuta" Koma.., ngoja yaishe..,
Ukubwa wa Dar ni idadi ya nyinyi vijakazi na uswazi zenu covering 80% plus ya 1600sq km., .., Dar yenyewe ni ndogo., 20% or less of the whole sq km., ama utabisha?.., 🤣🤣🤣🤣🤣.,Mombasa inaweza kuwa relevant ikishindana na Pwani labda katika sector ya bandari. Forget about Dar. Dar ni taifa kubwa. 🤣🤣🤣 we Lia Jamba ila ukweli Ndio huo. Arusha is a fare comparison to Mombasa.
Ni Rais kunyaland kupata rais mwenye asili ya Somalia kuliko kunyaland kupata rais kutoka pwani na jaluo.. 😂😂😂
Sasa hiyo hiyo 20% of well developed Dar you claim it to be ni bora na ndio anayoitoa jasho Naipori sahii. 🤣🤣🤣. Imagine tuendendeleze tena 10% huu Uzi utafungwa mana wote mtakimbia humu.Ukubwa wa Dar ni nyinyi vijakazi na uswazi zenu covering 80% plus ya 1600sq km., .., Dar yenyewe ni ndogo., 20% or less of the whole sq km., ama utabisha?.., 🤣🤣🤣🤣🤣.,
Leo umebadilisha, imekua semi-assembly 🤣🤣 Semi-assembly means built by both robots and humans. Yani the assembly process is not fully automated. Toyota wanafanya both automated and semi assembly.Kauli yangu inasimama pale pale sio gari zote zinakuwa semi-assembled.
Kuwepo kwa hizo kampuni haku justify unachokieleza hapa.
Kuna gari nyingi sana Kila kitu huundiwa pale pale sio tu Toyota Kuna kampuni zingine mathalan Rolls Royce.
Nishamalizana na wewe we zunguka zunguka weeh.Leo umebadilisha, imekua semi-assembly 🤣🤣 Semi-assembly means built by both robots and humans. Yani the assembly process is not fully automated. Toyota wanafanya both automated and semi assembly.
Eti kila kitu inafanywa pale pale, hivi hata hujui engines za Rolls Royce hua zinatengenezwa na BMW then zinatumwa kwa Rolls Royce.
Your knowledge of car industry is very shallow.
A deluded twat😆😆Sasa hiyo hiyo 20% of well developed Dar you claim it to be ni bora na ndio anayoitoa jasho Naipori sahii. 🤣🤣🤣. Imagine tuendendeleze tena 10% huu Uzi utafungwa mana wote mtakimbia humu.
Hili neno umeliona juzi nini.? 🤣🤣🤣A deluded twat😆😆
Defines you wellHili neno umeliona juzi nini.? 🤣🤣🤣
Toyota wana assembly plant kubwa sana ya Toyota Hilux in Durban, South Africa. Lakini engines hazitengenezwi South Africa. 😄 Bongolala mambo ya magari huwezani nayo.Mbona unavusha mada!?
We ni taahira!?
😂😂😂😂Wewe umesema kuwa gari zote zinakuwa assembled we ni kichaa!?
Katika manufacturing inafanyika semi-assemblying sio total assembly.
Unachokifanya wewe Kenya na wanachofanya Toyota ni vitu viwili tofauti.
Je wewe Kenya unasuka engine?
Je wewe Kenya unasuka gearbox na chassis?
Mbugila tope hii.
Ni neno uliloliona juzi, unajua kwanini nakuita wewe ni mtu mzima mpumbavu.? 🤣🤣Defines you well
Context is very important, in this case, context is assembling of cars not the word assembly in general. Kwani huko bongolala kila mtu ni primary school dropout.Duuh elimu zenu za wapi
That's old English, tumeitumia tangu shule ya msingi kama tusi, I find it well applicable to most of u here., kwanza wewe🤣🤣🤣🤣., it's not trendy even., kweli mko down🤣🤣Ni neno uliloliona juzi, unajua kwanini nakuita wewe ni mtu mzima mpumbavu.? 🤣🤣
Leo umebadilisha, imekua semi-assembly 🤣🤣 Semi-assembly means built by both robots and humans. Yani the assembly process is not fully automated. Toyota wanafanya both automated and semi assembly.
Eti kila kitu inafanywa pale pale, hivi hata hujui engines za Rolls Royce hua zinatengenezwa na BMW then zinatumwa kwa Rolls Royce.
Your knowledge of car industry is very shallow.
Context is very important, in this case, context is assembling of cars not the word assembly in general. Kwani huko bongolala kila mtu ni primary school dropout.
Tuko kwenye context kwamba semi assembly inakuwa inafanywa na robots plus human🤣🤣🤣🤣Context is very important, in this case, context is assembling of cars not the word assembly in general. Kwani huko bongolala kila mtu ni primary school dropout.