Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa inazidi Arusha na Mwanza idadi ya ghorofa tu basi. Hamna kingine cha maana huko Mombasa
Mombasa inaizidi Dar wacha kutaja vijiji chakavu humu..., ndio maana omba omba, vijakazi kutoka Tanzania wamejazana huku.., kuna hela, middle class population ni kubwa.., Tanzania Dar ndio jiji pekee la watu kukimbilia kutafuta..,

CFAO Assembly line, Mombasa




AVA Assembly line Mombasa




Mombasa fixing Tanzanian boats.., among others..


Mombasa



 
Kama utapima maendeleo ya mji kwa viwanda then Pwani region is by far more developed than Mombasa. Btw hii mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🤣🤣🤣
 
So alikua politician? ni wa wapi? ama no governor na hatujui?., ama MP?..., eti nyuma yake, stop looking at Kenya through Tanzanian poverty lenses.., yaani una project matatizo ya Tanzania kwa Kenya., wacha kujisema, fyata unatia aibu hehehe
 
Kama utapima maendeleo ya mji kwa viwanda then Pwani region is by far more developed than Mombasa. Btw hii mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🤣🤣🤣
Inakuumiza kuona Mombasa imeizidi Dar.., vumilia, ukweli ni uchungu..,
 
for sure wasomali ndio wanayoiendesha kenya kiuchumi na wamechelewa kuwachukia 😂😂😂
Huwa naona content creators wanaemda hapo Eistleigh kwa hofu😂

Na sasa hivi Wasomali wameshamaliza Eistleigh wamevamia South, B, C.

Kenya haikuwahi kupata Uhuru.

Imagine ,TZ mgeni aje kufanya hiyo ujinga.
 
nyinyi matajiri mulitakiwa checkup ya kila muda kitaalamu au ni mpaka muumwe kama maskini wengine?
Medical Checks up are free in Kenya. So please tell, how is kidney disease is related with wealth of a person? How many wealthy people have been diagnosed with kidney problems? Ama hao pia maskini? You are just foolish.
 
A twat🤣🤣🤣, are u suffering from paranoia schizophrenia?🤣🤣🤣🤣., or Bipolar, uko na hizo symptoms walai., imagining things.., tafuta matibabu kaka🤣🤣🤣..,
 
Na kama unajiona una guts we mtu mzima mpumbavu twende ground Don YF
Sasa wewe unataka nipingane na wewe eti?.., kwa lipi?, wewe ni obsessed chizi., akili ilidua, ukweli ulio wazi hautaki., boss nenda mkajitekenye vijiweni kilaza.., 🤣🤣🤣🤣🤣.., meza dawa chizi
 
A twat🤣🤣🤣, are u suffering from paranoia schizophrenia?🤣🤣🤣🤣., or Bipolar, uko na hizo symptoms walai., imagining things.., tafuta matibabu kaka🤣🤣🤣..,
Bisha kama nimesema uongo.? 🤣🤣🤣 how on earth can someone compare Mombasa to Dar.? Huu si uchizi.? 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wewe unataka nipingane na wewe eti?.., kwa lipi?, wewe ni obsessed chizi., akili ilidua, ukweli ukio wazi hautaki., boss nenda mkajitekenye vijiweni kilaza.., 🤣🤣🤣🤣🤣.., meza dawa chizi
Heb twende kwenye ukweli, naona unafaa kupata elimu kuhusu Tanzania, There are 3 largest industrial parks coming up in Pwani Region alone, one of them is SINOTAN INDUSTRIAL PARK the largest in the region (Make google your friend). There are several car assembling plants in Pwani region.
Pwani has many industries than any other region in Tanzania.

Sahii tunavyoongea kibaha alone iko na idadi kubwa ya viwanda vinavyotoshana na Nairobi nzima. Hiyo Mombasa ni Tanga iliyochangamka. 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…